Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Giroud goal puts Gunners on top ... ..... ... ... ... .... ... tumewabangua waliowakwangua Manure ... .... ... ..ooops Mashoga. COYG.
 
Giroud goal puts Gunners on top ... ..... ... ... ... .... ... tumewabangua waliowakwangua Manure ... .... ... ..ooops Mashoga. COYG.
Usisahau hao unawaita mashoga nao walikubangua
 
Hivi wale wa delta #8 bado wapo kwenye jukwaa hili ... ... .... . khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Huu mwaka unaweza kuwa mzuri kwetu wakuu. Keep the Spirit up wakuu!
 
I hope Chelsea lose to Liverpool or they draw. Liverpool are not that threats to our title chasing ambition this season.
 
Sijaupenda mchezo wa kudefend kagoli kamoja...Umeruhusu mashambulizi mengi na kutuweka roho juu...

Mkuu NC walikuwa wamejiandaa na baada ya kuwa goli moja down walikuwa hawana cha kupoteza bali kushambulia, strategy yao ilikuwa kupata goli la kushtukiza lakini mbinu yao imegonga mwamba. Vijana wamekomaa nao vile vile usisahau away games ni ngumu sana waulize Manshity walivyopata tabu jana na CP, na hio ndio sababu Prof hakumwondoa Giroud kwa sababu alikuwa na third thinking kwamba atapata nafasi na ataitumia kama ilivyojiri tuwangoje sasa Cardif new year ... .. ... .. .. Emirates .... ..
 
Mimi kwangu MOTM alikuwa ni Per Mertesacker ambae aliiongoza vema safu ya mabeki wa Arsenal ambayo alikuwa ina kazi ya kushughulikia mipira mingi ya juu iliyokuwa ikielekezwa langoni mwa Gunners.

Well done Gunners
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…