Habari wakuu Gunners mambo nieje?
Leo ndio leo na mtanange karibu unaanza, na naona mvua ni kubwa kuliko ikiambatana na upepo mkali uendao kasi ya miles 80 kwa saa, ni balaa.
Nasikia mzee Wenger anakusudia kuchezesha timu ambayo ni kama ifuatavyo.
Arsenal first X1;
Kipa ni Szczesny, mabeki Bacary Sagna, Kieran Gibbs, Thomas Vermaelen na Per Mertesacker.
Wachezaji wa kiungo; Mikael Arteta, Aaron Ramsey, Santiago Cazorla na Mesut Ozil ambae atakuwa akicheza upande wa ndani kulia na mbele ni Olivier Giroud.
Bench kuna Fabianski, Ginabry, Nacho Monreal, Thomas Rosicky, Lucas Podolski na Nicklas Bendtner.
COYGS!