Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Game ngumu sana kwetu leo hii......Hawa Man City ni wazuri sana....

COYG
 
Wewe unasemaje Eti?

Hakai kimya mtu hapa! Saa za game sio mbali subiri uone!

Unachekesha!

Wewe mwanga umerudi na leo............leo niko tayari kulimwa ban lakini nakula sahani moja na wewe, ole wako ulete ujinga wako kama wa usiku ule.
 
Nipo City kwa mkopo ebo mnashangaa nini nani aliwaambia mashabiki hawawezi kuazimwa kwa muda mtashangaa leo sioni mtu wa kumzuia Silva na Aguero.
Haya mkuu. Jiandalie kwa kipigo.
 
Hii game saa ngapi wadau..mi liver naomba mungu arsenal apoteze hii game angalau nimsogelee..

Dua la kuku halimpati mwewe,,,,,,,,jisogeze kutazama nadhani ni kumi kasoro (3:45 pm.)
 
Tukifanikiwa Kupata point 3 muhimu tutakuwa tumejiweka katika sehemu nzuri saana.
All in all ni kwamba in Arsene We Trust.
..COYG..
 
Wewe mwanga umerudi na leo............leo niko tayari kulimwa ban lakini nakula sahani moja na wewe, ole wako ulete ujinga wako kama wa usiku ule.



Duh! Man city 7 Arsenal 0. Na red card Kwa Ateta!

Wewe unalilia ban leo? Jamani Nakupa pole!
Hatishwi mtu hapa na Mimi nakomaa na wewe mpaka wake Hiyo ban!

Wewe, wewe, wewe, Ngoja tuone Leo! Lazima mufungwe vibaya! Yani Ka timu kenu lazima Kawe ndembendembe! Muda wenyewe ushafika subiri uone wewe mtoto Wa Liemba Mfipa!

Teh Teh Teh! Na Mimi na mkwaraaaa wewe!
 
Arsenal lazima apigwe goli..akishinda basi anakuwa bingwa
 

Haya nitakuwepo hapa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…