Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nacho Monreal ameingia na kuchukua nafasi ya Thomas Rosicky.
 
Arteta Red card!
Arsenal ndembe ndembe kifo Cha Mende
 
Nani kafa kifo cha mende wewe....??

Tangu lini ngoma ya watoto ikakesha wewe?
Au tangu lini ngozi ya kitimota ikawambwa ngoma wewe?

Mzee wenga ndembe ndembe!
Wamekoswa goli la pili arsenal hapa!
 
Tangu lini ngoma ya watoto ikakesha wewe?
Au tangu lini ngozi ya kitimota ikawambwa ngoma wewe?

Mzee wenga ndembe ndembe!
Wamekoswa goli la pili arsenal hapa!

Wewe mbona unaweweseka sana. Arsenal inakunyima usingizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…