Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Masanilo upo???,niliokwambia mpwa,mpira dakika 90..Tumepata pointi 3 saaaaaaaaaafi
wewe mpigafilimbi si upige filimbi mpira uishe sasa mkuu ha ha ha ha.point tatu muhimu.dk 2 zimebaki jamani..
Masanilo upo???,niliokwambia mpwa,mpira dakika 90..Tumepata pointi 3 saaaaaaaaaafi
we acha tu mkuu.that little russian kiboko yao pale anfield.Hahahahahah watani leo mnafuraha sana .....ushindi mtamu sana usiambiwe! Hongereni sana sana!
we acha tu mkuu.that little russian kiboko yao pale anfield.
asante sana mkuu naona unashida ya ushindi mpaka unashangilia ushindi half time mkuu.madaltari watakutolea tu mashine za kupumulia wamekuchoka .wakuu hongereni sana, a better team won, i am down and out; our team isnt good enough to be in the top four
kama ulikuwepo.yule drogba bora aende africa tupate kupumua kidogo.Hahahaha ni kama Drogba anapokuwa Emirates!
37-31=6
34-31=3
>>>>31+x=.....31+0=31......31+1=32....31+3=34......x=0 or 1 or 3. But x must be maximum: so, x=3......Hapo vipi?
Therefore it is 6 and 3 not 11............>>>>noooooooooooo it will be 6 and 3 or 5 and 2 or 3 and 0.....
we acha tu mkuu.that little russian kiboko yao pale anfield.
masanilo 2 liverpoool 1