Hawa inabidi tuwapige mbili ...
BAK siku hizi weekend huwa inakuwa bomba sana...mpira safi...magoli bomba na shezn kakomaa kinyanda.#Mamburukenge yanachungulia kwa mbali huku yakiwa yamenuna lol!!!
naona vijana wa cardiff wamekuja juu sana ss hivi!!
wanahitaji ushindi nao.Cardif wanashambulia sasa