Arsenal 2 Man City 0
Kwakweli magoli ya leo huwezi kumalumu mtu yoyote na hata hao Mancity sio kila siku wanweza kufunga vile
hizo two crackers si za kawaida, naona wenger kama anaumwa tumbo la kuhara
mkuu unawanga mpaka kwenye carling cup?simchezo ha ha ha.naona watoto wametoka kwenye stage moja na babu zao lol.Arsenal 3 Man City 0
mkuu na wewe pia humo kumsaidia masanilo kuwanga? hawa watoto ndio waliokufunga mpaka wakafika hapa mbona rafa hakujiarishia? wenger asumbuliwi kabisa na kombe la watoto hili wale wasio jiamini kama mark hughes ndio wanakuja full nondo hawaogopi injury wala fatigue.Kwakweli magoli ya leo huwezi kumalumu mtu yoyote na hata hao Mancity sio kila siku wanweza kufunga vile
hizo two crackers si za kawaida, naona wenger kama anaumwa tumbo la kuhara
wenger asumbuliwi kabisa na kombe la watoto hili wale wasio jiamini kama mark hughes ndio wanakuja full nondo hawaogopi injury wala fatigue.
unajua ukiwa timu kubwa mechi nyingi sana zingine kama hizi lazima utumie kuwaandaa watoto wa kwani sio.
"We have not won a trophy since 2005 but I don't consider that if you win the Carling Cup we parade around and say we have won the trophy. For me it is a competition where we develop our young players. I don't believe that next season if we had won the Carling Cup I would say 'we won a trophy last year'. To play in the Quarter-Final or Semi-Final or Final of the Champions League is10 times more difficult to win the Carling Cup." - Wenger
Poleni watani mana dozi mlizofufulizwa si mchezo!..Ndiyo kandanda hiyo!!!
Dozi kitu cha kawaida katika kandanda.Poleni watani mana dozi mlizofufulizwa si mchezo!..Ndiyo kandanda hiyo!!!
Maneno ya mfa maji hayo! huwezi dharau kikombe kama hicho while huwezi kuchukua hivyo vingine, huwezi hdarau shilingi 10 wakati huna ishirini, unless utakuwa chizi, nina wasi wasi huyu babu Wenger ameshachanganyikiwa huyu. Sasa kama kwake kikombe hakina maana ndio ashindwe japo kushikana mkono na kocha mwenzake? kama sio kuchanganyikiwa ni nini sasa! Arsenal na nyie mmeshakubuhu sasa, wazee wa kugongwa 3 tatu!
If you are not Arsenal fan; Have you imagined before kuwa shabiki wa Arsenal,kipindi kama hiki utakuwa na hali gani?.... naona kila kona 'wanalonga kwa lugha mbalimbali kama manabiii', Lol..!, wakishinda tu, watasema mwaka huu treble yao, mkidungwa game mbili tu, mshakata tamaa, nyie vipi?..Lol!
BTW;Poleni lakini, thats soka.
"We have not won a trophy since 2005 but I don't consider that if you win the Carling Cup we parade around and say we have won the trophy. For me it is a competition where we develop our young players. I don't believe that next season if we had won the Carling Cup I would say 'we won a trophy last year'. To play in the Quarter-Final or Semi-Final or Final of the Champions League is10 times more difficult to win the Carling Cup." - Wenger
and how do you expect kufika huko na hawa watoto wake. Huyu jamaa sasa anaanza kuboa where is the arsenal that went all season undefeated hawakua watoto wale.
its time he accepted the truth kids will not bring trophies hata hii carling cup once wakifika kwenye stage hizi wanagonga mwamba.
The humiliation waliopewa na chelsea jumapili inaonesha bado hawako on the same level with them or Man U for that matter.
Jana umesikia Wenger kasusa kumpa mkono mwenzake baada ya mechi, analeta hasira za kitoto kwa kuwa anashinda sana na watoto. Na funds zipo za ku-spend anauzi kwa kweli huyu babu sasa.
Anaulizwa why you refused to shake hands eti its his decision to shake or not to shake hands. Hila attitude anapofungwa tu akishinda haa hi is very happy what a pathetic french man.
belinda siku hizi nitakuwa nakataa pole zako sasa lol.manake wewe unatokea tukifungwa tu.Poleni watani mana dozi mlizofufulizwa si mchezo!..Ndiyo kandanda hiyo!!!
mkuu unapoteza mda kujibu comments za watu nimezisoma na nimegundua wengi ni wageni kuhusu kombe la carling cup kwahio waache wabwabwaje tu na sisi tutaendelea kulitumia kombe hili kuwapa vijana wetu mechi zaidi.Lakini hata mie kama tungeshinda only Carling cup this year I would not say we have ended trophy drought.
By the way let's see what happens in January 2010 kwenye dirisha dogo coz I know atasajili but the question is who? I still believe in this team!
mkuu unapoteza mda kujibu comments za watu nimezisoma na nimegundua wengi ni wageni kuhusu kombe la carling cup kwahio waache wabwabwaje tu na sisi tutaendelea kulitumia kombe hili kuwapa vijana wetu mechi zaidi.
its cheap kujaribu kutufananisha na man city wao wanakwambia mara mwisho kufika stage ya quarter final carling cup ni 1981 na kumbuka sisi tuna mechi nyingi sana kwahio wao hawana hasara yoyote.
kama wao wanapiga kelele kwa vile ni arsenal kafungwa basi hapo nawakubalia sawa tumefungwa na tumekubali tulizidiwa.na kuna mechi nyingine pia ya champions league wanaweza kuja kubwabwaja watoto watacheza kwa vile tushapita.
kolo toure na adebayor walikuwa wanapumzika mechi kama ya jana kwa vile sasa hivi wako kwenye timu ndogo inabidi wacheze tu hawana jinsi lol.