Arsenal (The Gunners) | Special Thread

















Kama kawa Prof na Giroud wakiwa kwenye press conf. kabla ya mtanange
wa kukata na shoka kesho ... ..... .. COYG





​

We jamaa iyo identification yako nmeiona kweny group moja hv ya arsenal kule sura kitabu
 
dah...mech 2liofungw na hawa kenge nilipokelewa nyumban kwang na kundi kuwa la wana man u ambao ni majiran zang, leo nashangaa ni mke wangu 2 ananipokea, nahisi wanataman kusikuche.....hahahahahahahah sijui kama jumapili hawatahama mtaa kwel; nshaanza kuwa na wasiwasi wa kupoteza mmajiran msimu huu
 
#Mburukenge na #vimburu kimyaaaaaa..... kwa raha zetu walikuwa wanasubiri kufanya karamu kwenye uzi wetu wameondoka bila hata kuaga lol!!!!
 

Hahahahahahahaha hiyo hatari sanaa mkuu, kwamba Gunners wamesababisha mpaka uanze kupoteza majirani??
Hahahahahahahahahahaaaaaaaa!!
 
A huge confidence booster...tukiwachapa na wale MANU 3-1 Jumapili mbona itakuwa shida mtaani!? Hahahahaha lol!!!! #mburukenge hata kuchungulia hawatataka kabisa lol!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…