LEWA-NDOO-YA WHISKY mwenyewe!,huwezi kutibua birthday ya professor wako wa chuo cha soka halafu ukaachwa ufaulu kiubwete tu!Watanuna sana haters mwaka huu!
Jamaa walichonga sana ooh hatuwezi kuzifunga big teams ...sasa yako wapi ?liva kala kichapo cha mbwa mwizi pale imarati ...hii germany machine dortmund imeoigiwa uani kwao....sasa tunashambuli ngome kongwe jumapili