Kuna watu wanachukia chifu...hawajui kama soka ni mchezo wa utani na ushabiki...bila hilo hakuna utamu wa soka....
Hivyo ni kheri niwape amani kwenye jukwaa lao....
Watakuwa wanakutania tu Mkuu lakini hawana chuki yoyote ile zaidi ya utani tu wa kufurahisha jamvi....Usiache kuandika banaaa kwenye mkeka wetu.
Poa chifu.....
Ila Nov. 10 inabidi mje kamili...
Siku/usiku mwema....
Tutawachapa tu 3-2 na kuongeza muweweseko wenu, siku hiyo Walcott atakuwa available katika juhudi za kuipenya ngome yenu ili kuziona nyavu.
Utake usitake uta-post tu!hongera wewe unayefungwa na timu kubwa kuliko Arsenal.Kuna watu wanachukia mimi kupost humu...hivyo kuanzia leo hutaona nimepost humu kwenye kijitimu kidogo cha pale London.....
Kuna watu wanachukia mimi kupost humu...hivyo kuanzia leo hutaona nimepost humu kwenye kijitimu kidogo cha pale London.....
Poa tuombe uzima tu chifu.....
.......aaaaa banaaaaa, ushaanza vijisababu sasa......
Au nawe ndio ushakubali #hatushikiki kama mkuu Peasant?
Jamaa alikuwa #bandikabandua humu!
Usikimbie banaa.... Subiria japo mpaka #BoxingDay ....
Tuombe uzima Mkuu...Niko hapa nasubiri mchapo wa Chelsea na MANC, mie natoka draw ya 0-0 🙂🙂
Hahahaha ok chief! Hongereni sana naona mnamalizia mechi zenu dhidi ya timu zilizo bottom half of the table vizuri. Kazi kwenu mtakapoanza kukutana na timu kutoka top half of the table.
Leo haachwi mtu atiiiiiii..........
Mentor
Huyu jamaa sijui kwanini sio shetani wangu kwani kila nikiangalia Chelsea wakati wa RAFA ilikuwa nzuri kiuchezaji kuliko sasa
tuangalie mtanange leo,
Sitokuwapo kutokana na majukumu ya kimaisha