Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tunaomba uendelee kuwepo Mpaka Muda huo mkuu.

Tatizo la mashabiki wengi wanataka Arsenal ifungwe badala ya kuangalia timu zao zinazofanya vibaya walekebishe matatizo ya timu zao na kuyajadili wao Issue ni Arsenal itafungwa lini,sasa leo hata arsenal ikifungwa ndio itashuka nafasi ya pili kwenye PL ? Kwa mechi za Dortimund dhidi ya Arsenal kwa miaka ya hivi karibuni naona Arsenal wapo juu sasa mashabiki wanaotaka tufungwe watalajie yaliyowapata Napoli ya Italy
 
Ramsey atakua anafeel guilty saana kwa ile mistake. But its part n parcel of the game. For the moment tunadominate game vizuri saaana. At least mipira inafika kwenya lango pinzani. Ozil kakamatwa mbaya....
 
Rosicky ni noma.... Wilshere bado anazingua..... it will be OK at the end.....
 
Hahahahahahaaaaaa..... i saw it coming.... keep this form n spirit.... more goalz to come....
 
Pengo la Flamini pale kati linatusumbua kidogo. Arteta na ramsey wanashindwa kuzuia kasi ya mashambulizi
 
Ramsey atakua anafeel guilty saana kwa ile mistake. But its part n parcel of the game. For the moment tunadominate game vizuri saaana. At least mipira inafika kwenya lango pinzani. Ozil kakamatwa mbaya....

ozil mapasi-maassists kapotezwa mbaya kabisa leo
 
Cross ya Sagna ilikuwa mbaya kama bahati jamaa walijichanganya wenyewe
 
oliviergiroudgoalvdortmund20131022_576x324.jpg
 
Back
Top Bottom