Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Chifu.....Kwa hiyo furaha yenu ni kuwa kileleni?!? Vitimu vidogo bana...malengo na matamanio yao uwa ni madogo kama vitimu hivyo...
Hongera kwa kuchukua ubingwa wa mwezi Oktoba...
Inaonekana unaongea kwa jazba na kijiba.....
Tangu lini Arsenal ikawa timu ndogo?....
Arsenal hii hii ambayo UEFA huiweka ya kwanza kwenye vile ' vyungu ' vyake leo hii wewe Inzi unaiita timu ndogo kisa ipo kileleni na Man Utd inashika nafasi ya 8 wewe unaiita timu ndogo!!!!
Arsenal hii hii ambayo imechukua ubingwa wa England mara 13 na vikombe vingine kadhaa wewe leo unaiita timu ndogo!!!....
Arsenal hii hii ambayo iliweza kuchukua ubingwa wa England bila kupoteza mechi msimu mzima wewe unaiita timu ndogo!!!....
Arsenal hii hii ambayo kila mwaka inafuzu kushiriki UEFA CL wewe unaiita timu ndogo!!!!....
Arsenal hii hii ambayo mechi yake na Man Utd imegeuzwa ya utani wa jadi kama ilivyo ya Simba na Yanga kiasi cha kuzifunika mechi za Man Utd Vs Man City , Man Utd Vs Liverpool, Arsenal Vs Tottenham na Liverpool Vs Everton wewe unaiita timu ndogo!!!!....
Arsenal hii hii ambayo ilikuwa na kikosi kinachoitwa ' The Invincible ' wewe unaiita timu ndogo!!!....
Arsenal hii hii.......
Aaah Chifu.....Wacha kijiba cha roho bana....
Mwambieni Daudi abadilishe mfumo wa upangaji timu na ufanyaji sub ili timu ifanye vizuri...Giggs aungane na akina Neville kumsaidia katika coaching.....Uwanjani awaachie akina Kagawa(mchezaji mwenye kipaji ambaye Daudi anakipuuza) , Zaha na wengine anaowaweka benchi....Halafu asidhani Man Utd ni Everton, Fellaini awe anamuingiza 2nd Half....
Msiichukie Arsenali kihivyo jamani...Tatizo sio Arsenal....Tatizo ni coach wenu bwana Daudi....