Hongereni kina wacha1 na viper na Wenzenu wa gunners sasa media za uk Pengine zitamuwekea heshima Wanger kwa kukuza makinda sasa matunda yanaonekana I hope Rogers huku lfc atakuwa Hivyo. Hongereni week mnaenda top.
nakumbuka msimu uliopita alivyokuwa vibaya tukawa tunamlaumu wenger why he still have faith on him !! kwanini ramsey kila match awepo... sasa tunaona matunda yake... dogo yupo vizuri saana