Morrison, zao la Man United, akifanya kazi vizuri...
Wamshukuru refa hawa ..... .... .... ..
FT 1-1
Back to being average..Arsenal's way
Delta 6 khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Refa kabeba kibahasha chake huyooooo anaenda kuchuma mboga za majani
Lazima umkubali maana aliwakwangua kama kimburu mwizi tena pale pale Old Trashford.. . .... .... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Refa kaharibu mchezo leo.
Hivi wewe jamaa kule kwenye thread yenu hakuna vitu vya kujadili, maana kutwa umo humu.Giroud back to his best...missing chances....
Tunakumbuka ndio ila leo kazidi.Karma is a bitch...mnakumbuka refa alivyoharibu gemu yenu na Sunderland kwa kukataa goli la Jozy?
Mbona hamjacome back Old traford na hawa hawa jamaa?
Hivi wewe jamaa kule kwenye thread yenu hakuna vitu vya kujadili, maana kutwa umo humu.