Nguvu ya soda tu hawa ..... .... ..
Katavi, game bado mnaweza kushinda, naona kiungo chenu leo hakipo sawa.Duh....basi itakuwa balaa mtaani tukifungwa.
Yellow card to wilshere....huyu jamaa leo hayuko vizuri kabisa
Jack mpira umemkataa leo ingiza Gnabry/Rosicky
Leo balaa tupu kaka.Katavi, game bado mnaweza kushinda, naona kiungo chenu leo hakipo sawa.