Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mpambano ndio umeanza, yetu macho, masikio, miguu na mikono kwa wale wenye midadi!!
 
si mchezo babake...Arsenal wanatandaza soccer........i love their style
 
Ashley cole Drogba Goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
baooooo la pili...duuuh...vijana pamoja na soka zuri lakini mnashindwa technique za ushindi duuhhh
 
tunahitaji kushinda mechi tunapocheza vizuri. makosa yanatuadhibu, hata hivyo ni mpira, tuna dk 45 zingine.
 
Wazee kuna nini hapa leo? Naona watu wanashangilia tu..
 
Asante kaka, tupeane moyo.......Masanilo yeye anafurahia, yaani hata kusema arsenal wamecheza vizuri, ama kwetu adui muombee njaa.

Nina raha sana hapa subirini kipindi cha pili tunapiga zingine mbili, mimi nitakuwa wa kwanza kuwapa pole!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…