Kwa hiyo kwa vile shugadad wenu kasema ana imani na Arsene Chenga, ina maana ule mpango wa kujiuzulu akishindwa kuchukua kombe lolote (including Capital One Cup) umekufa? Kheeee kheeee kheeee kheeee kheeee kheeee kheeee...
BTW: Wewe BAK ebu kuja uone jinsi tajiri alivyo na mapenzi na kocha; hivyo kelele zenu nyiye kama mashabiki hata akikosa kikombe cha Capital One, hazitokuwa na maana. Mwenye timu anampenda kocha bana; washabiki kitu gani?? Kheeee kheeee kheeee kheeee kheeee kheeee kheeee...

hahahahahahahahaha Nziiiiiiii! Vip kuhusu wale akina sir elton John wa kimarekani bado wana imani na Moyos?
Hahahahahahahahaha
Boardroom ya United bado ina imani kubwa sana na David Moyes kama walivyo mashabiki wa ukweli wa United. Mashabiki maandazi na waliozoea raha siku zote, ndiyo hao unaowasikia wakipiga kelele....mtu aliyepewa mkataba wa miaka 6 katika timu kubwa kama United hawezi kuwa judged based on 6 games. Hiyo siyo tradition ya United.
haya mkuu endeleen kuwa wavumilivu na benchi lenu la ufundi la everton.
Naona siku hizi man u wakipata goal washabiiki wanashangilia goal! Na siyo goooaaaaaaaal! Kama ilivyokuwa zaman.
hahahahahahahahahahahahahaha.
Wacha1 ww ndio swahiba wa kweli hasa watu wa humu wale jamaa wa old Trafford kwa the chosen one hawataki kututumia picha Kule kop hata la goli la Sunderland Leo hawataki wakati ni mabingwa wa kurusha picha wale wamemtuma Howard Webb mpaka Sunderland duh! Waambie watizame table haimuzi macho jamani.
Wacha wivu wa kike wewe. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeTunatupia fotoz kwa mechi zinazotuhusu. Sasa game ya Liverpool na Sunderland ilikuwa haina maslahi kwa United!! Anyway hongereni kwa kushika nafasi ya 2!! Mafanikio makubwa sana kwa Liverpool!
Wacha wivu wa kike wewe. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
.......hahahaha, umemuona ee? Huyu Rossoneri na mwenzake Gang Chomba lazima wanakaji element ka ushabiki wa Spurs hawa....
Haiwi wao machungu yao ni Arsenal tu....
Huenda ushabiki wao wa Spurs ulipungua au kufa baada ya Era ya kina Lineker, Gazza, hoddle et al....
1. Azurri
2. Rossonelli
3. Yanga
4. Abajalo...
full stop...
Sawa...wewe una wivu wa kiume..
Moyes analalamika hana world class players .. Aje goners tumpe diaby na miyachi kwa mkopo tuokoe jahazi ...
Hahahaaaaaa,babu alizoea kubebwa na FA/marefa,wachezaji si ni hao hao toka misimu 3 illiyopita??Moyes analalamika hana world class players .. Aje goners tumpe diaby na miyachi kwa mkopo tuokoe jahazi ...
Hahahaaaaaa,babu alizoea kubebwa na FA/marefa,wachezaji si ni hao hao toka misimu 3 illiyopita??
Atafute beki na kiungo wa ukabaji aone kama atafugwa hovyo kama ameangalia Arsenal ikizidiwa sehemu ya kiungo Monreal anaingia kuongeza nguvu
Hahahaaaaaa,babu alizoea kubebwa na FA/marefa,wachezaji si ni hao hao toka misimu 3 illiyopita??
Moyes analalamika hana world class players .. Aje goners tumpe diaby na miyachi kwa mkopo tuokoe jahazi ...
Hao world class players wako wamekuwezesha kutetea ubingwa wako kwa miaka 8 sasa
Hahaha kwani hiyo mnajali mbona van Persie mmemchukuwa ... Njooni mkope diaby na miyachi ... At list mtamaliza top 15