Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

A WIN IS WIN..... Though in the last quarter it was hard for us.... But after 90+ Minutes WE ARE THE WINNERS. Three points that have taken us back to the SUMMIT of the Table...... What a WEEKEND??? So Happy.... So very HAPPY.... COYG
 
Japo ushindi umepatikana ila Wenga january inabidi afanye usajiri. Kunaa wachezaji baadhi ya wakichoka timu itachemsha kama hakuna mbadala.
 
Japo ushindi umepatikana ila Wenga january inabidi afanye usajiri. Kunaa wachezaji baadhi ya wakichoka timu itachemsha kama hakuna mbadala.

Kweli kabisa inabidi timu iwe na wachezaji mbadala...
 
Kweli kabisa inabidi timu iwe na wachezaji mbadala...

Kuna wachezaji wenhi majeruhi.... imagine Carzola, Poldi, walcott, Oxlade wote wawepo... kutakuwa na competition kwenye tim, sasa ivi flamini anafanya vizuri kumpa arteta competition... bado nadhani timu ni nzuri...
 
Back
Top Bottom