Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,690
- 1,293
Mesut Ozil.....
mmeshinda hii game jamani ila ndo first time naona arsenal wanacheza defensively.
mmeshinda hii game jamani ila ndo first time naona arsenal wanacheza defensively.
3 goals 3 assists frm him
Huku ndiko nyumbani kwangu mkuu. Ukinikosa kwingine utanikuta humuMkuu kumbe upo !
Nakuombea droo leo mkuuHongereni sana wakuu kwa ushindi huo wa tatu kwa 1