mkuu mbona unapenda fujo sana? watu wnaongea vitu vya maana wewe unasema longo longo ha ha ha.mbona mechi zako kubwa sie hatuwasumbui mkianza kupigiana mikwara?
mie natizama mechi ya leo kwanza lol.
Timu mbovu jamani watafanya nini washabiki?
Inaonekana umeanza kushabikia Arsenal majuzi, Arsenal ni timu bora imesimama pale pale wala haitetereki, Mfano angalia Chelsea wameanza kuongea baada ya Jose Mourinho kuja pale darajani before walikuwa hawajulikani na ukiangalia mashabiki wengi kutoka hasa bara letu wameanza kuishangilia chelsea baada ya Mourinho kuhamia pale.Problem kubwa ya Arsenal ,hatuna golikipa wa kutupatia ushindi ambaye anaweza kusave magoli ambayo ni unsavable kama vile Van or Petr Cech.Katikati hatuna "authority" midfielder kama alivyokuwa Viera yaani mbabembabe ambaye anaweza kupambana na yeyote yule aje Gerald,Lampard or anybody else.Ambaye pia ana uwezo wa kuhamasisha wenzie na vile vile kukaa na mpira.Matatizo mengine ni madogo madogo ambayo kila timu inayo.
welcome back denilson.
Mkuu umeanza kushabikia Chelsea lini? Maana miaka ya nyuma jamaa walikuwa wabovu tuu wanagombea nafasi ya saba na kina Nottingham Forest, Crystal Palace na Ipswich Town sijui.
the unsung hero, huyu ndio roho yetu sasa hivi pale kati kumlinda fabregas.dogo yuko kwenye form kinoma.Song agrees new contract
Midfielder to ink new terms in North London
By James Dall Last updated: 24th November 2009
Song: New deal
Arsenal manager Arsene Wenger has confirmed that midfielder Alexandre Song has agreed a new contract with the club.
The Cameroon international is set to put pen-to-paper on terms that will tie him to Emirates Stadium until 2014.
Songjoined the Gunners from Bastia in 2006 and over the last year he has emerged as a vital member of Arsene Wenger's side.
Wenger said: "We extended his contract yesterday. That will be confirmed very shortly. He is an important player.
"Alex has three years to go, now he has four years to go at the end of the season - to 2014."
Anchorman Song, 22, has made a total of 96 appearances for Arsenal, scoring three goals.
sasa si tuna van persie mkuu yupo injury? alafu sisi huwa tuna share kufunga magoli kwa style yetu ya mpira ndio maana tuna magoli 57 mpaka sasa mechi zote.Arsenal ni timu nzuri lakini tuna matatizo kidogo ya umaliziaje, wa create nafasi nyingi sana lakini magoli machache sana ndio yanayofungwa, mzee wenger anhitaji striker mmoja wa kueleweka kama Droga kwa Chelsea, Torres kwa Liva au Rooney kwa Man u!
mkuu pole sana mechi ilikuwa nzuri jana pande zote mbili zilicheza vizuri na ilikuwa kutumia nafasi tu.jana niliangalia game mpaka dakika ya 60 kuna sehemu nilikuwa nawahi na pole kwa kuto kuwekea matokeo hapa nilishindwa baada kuona kulikuwa kimya kwahio nikakosa mtu wa kudiscuss nae mechi wakati inaendelea.Mkuu, mechi ya jana sikuicheki, nilikuwa bussy kizushi. naona hapa watu kama kweli, wewe (arsene Wenger), next level, balantamda, mbu, etc hamkuwepo pia!! maana sijaona updates za jana.
sasa si tuna van persie mkuu yupo injury? alafu sisi huwa tuna share kufunga magoli kwa style yetu ya mpira ndio maana tuna magoli 57 mpaka sasa mechi zote.
bent yuko inform no doubt about that.au unamaamnisha na mimi niangalie replay ya wigan vs chelsea against wigan vs spurs? ha ha ha.mambo yote jumapili baada ya dakika 90.Leo naangalia replay zidi ya Sunderland! Bent balaaa
Mkuu Ashavin.....karibu sana JF......! Karinu sana kny kijiwe kidogo cha the Emirates........!Timu ilicheza vizuri lakini bado kuna haja ya kuwa na finisher wa kuaminika kama alivyokuwa henry
Kieran Gibbs has fractured the first metatarsal in his left foot and will be out for around three months.Reported English Premier League Injuries
Sunday 22nd November 2009
ClubInjuriesPlayerConditionExpected Return*Next Match**Arsenal8V DiabyCalf Muscle Strain29th Nov 09 K GibbsAnkle/Foot Injury24th Nov 09 R Van PersieSprained Ankle9th Jan 10 G ClichyBack Injury29th Nov 09 J WilshereAnkle/Foot Injury2nd Dec 09 L FabianskiThigh Muscle Strain29th Nov 09 N BendtnerInguinal Hernia5th Dec 09 J DjourouKnee Injury Ongeza Gibbs na Galax