DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,993 Reaction score 11,871 Sep 18, 2013 #27,401 ndetichia said: marseeeeeeeeeeeeeeeeli meter save it aiseee... Click to expand... wacha kelele wewe!
DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,993 Reaction score 11,871 Sep 18, 2013 #27,402 Hili liuwanja la marseille libaya duh,hata ule wa temeke mzuri
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Sep 18, 2013 #27,403 Naona leo Theo anapwaya ... .... ... Come on you Gunners.
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Sep 18, 2013 #27,404 Theo kanijibu .... .. 1 up
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Sep 18, 2013 #27,405 Wacha1 said: Theo kanijibu .... .. 1 up Click to expand... habari ya wewe mkuu?
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Sep 18, 2013 #27,406 Theo baada ya kupata goli lake la kwanza kwenye mtanange msimu huu anabadilishwa na Monreal anachukua nafasi yake ... ..
Theo baada ya kupata goli lake la kwanza kwenye mtanange msimu huu anabadilishwa na Monreal anachukua nafasi yake ... ..
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Sep 18, 2013 #27,407 ndetichia said: habari ya wewe mkuu? Click to expand... Mambo poa naona Marseille siyo wabaya sana ki-vile mpira dakika 90 .... ..... ... marudiano Emirates ... ...huyu refa mshenzi anaachia ati advantage naona anataka kuwapa goli la sadakarawe .... ... ... hongera zenu kwa mpira wa jana chacha mmsukume mlevi weekend ... .. .
ndetichia said: habari ya wewe mkuu? Click to expand... Mambo poa naona Marseille siyo wabaya sana ki-vile mpira dakika 90 .... ..... ... marudiano Emirates ... ...huyu refa mshenzi anaachia ati advantage naona anataka kuwapa goli la sadakarawe .... ... ... hongera zenu kwa mpira wa jana chacha mmsukume mlevi weekend ... .. .
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Sep 18, 2013 #27,408 Ramsey kama kawa 2 up safi sana ... .. . kama Prof alivyoagiza ..... ... BTW dakika ya 84 na usheeee
Piere. Fm JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,261 Reaction score 1,253 Sep 18, 2013 #27,409 Ramseyy ts wonderful
P pachanya JF-Expert Member Joined May 20, 2012 Posts 2,064 Reaction score 2,266 Sep 18, 2013 #27,410 Naona FC BASEL wanapeleka msiba kwa jirani yetu Chelsick.....ahaaaaa Thanks Ramsey
DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,993 Reaction score 11,871 Sep 18, 2013 #27,411 Ramseeeeeeeeeeeeeeeeeey
Piere. Fm JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,261 Reaction score 1,253 Sep 18, 2013 #27,412 Chelsea washatangulizwa.
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Sep 18, 2013 #27,413 Dah naona mchezaji wa Marseille anaingia golini kwa Gunners bila mpira khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Dah naona mchezaji wa Marseille anaingia golini kwa Gunners bila mpira khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Sep 18, 2013 #27,414 Ryo Miyaichi anaingia hapa kupata uzoefu kidogo ... . ..
Piere. Fm JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,261 Reaction score 1,253 Sep 18, 2013 #27,415 Huyu refa mshenz sana pena gani hyo.
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,458 Reaction score 119,079 Sep 18, 2013 #27,416 Mwanzo mzuri, kundi gumu hili... Napoli nae kamla mtu mbili bila majibu..
Piere. Fm JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,261 Reaction score 1,253 Sep 18, 2013 #27,417 Full time marseile 1 Gunners 2.
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Sep 18, 2013 #27,418 Refa mjinga huyu anatoa goli la matuta .... .... kwenye dakika za majeruhi ... .. it was never a penalty. its all over 2 - 1. Haya next weekend Stoke ...... .... ... Hongereni Gunners ushindi ni wetu. Pics baadaye kidogo.
Refa mjinga huyu anatoa goli la matuta .... .... kwenye dakika za majeruhi ... .. it was never a penalty. its all over 2 - 1. Haya next weekend Stoke ...... .... ... Hongereni Gunners ushindi ni wetu. Pics baadaye kidogo.
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Sep 18, 2013 #27,419 Ukiona manyoya......Jua kaliwa.... Hongera Gunners..... Poor Jose....Naona daraja linazidi kuzama.... Mwaka wa shetani.....
Ukiona manyoya......Jua kaliwa.... Hongera Gunners..... Poor Jose....Naona daraja linazidi kuzama.... Mwaka wa shetani.....
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Sep 18, 2013 #27,420 Balantanda said: Ukiona manyoya......Jua kaliwa.... Hongera Gunners..... Poor Jose....Naona daraja linazidi kuzama.... Mwaka wa shetani..... Click to expand... Na bado watakoma mechi ya pili wanakung'utwa naona mambo mazuri tu pale kwenye cowshed. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Balantanda said: Ukiona manyoya......Jua kaliwa.... Hongera Gunners..... Poor Jose....Naona daraja linazidi kuzama.... Mwaka wa shetani..... Click to expand... Na bado watakoma mechi ya pili wanakung'utwa naona mambo mazuri tu pale kwenye cowshed. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee