Usanii huo kaka!
Mkuu,
Unajua inauma sana pale unapofungwa ugenini tena na timu ya Sunderland.
Mimi huwa mechi kama hizi napenda kuona mwenyewe pale uwanjani.
Nakiri kuwa Arsenal wanahitaji "steel" na "inspirational leader" pale katikati. Ni mtu wa aina ya Patrick Vieira ndie atakaewasaidia.
Kuna wakti sikuwaona kabisa Samir Nasri na Eduardo kwa vile walikuwa wametimwa mifukoni kabisa na mabeki mahili wa Sunderland.
Lakini pia international break nayo imewapumbaza sana wachezaji na hata Andrey Asharvin alikuwa bado yupo upset na kutolewa kwa Russia kwenda South Africa.
All in all kipimo cha Arsenal ni jumamosi ijayo na kipimo cha Chelsea ni mwezi January mwakani.
lol
mkuu mbona unapenda fujo sana? watu wnaongea vitu vya maana wewe unasema longo longo ha ha ha.mbona mechi zako kubwa sie hatuwasumbui mkianza kupigiana mikwara?Wacheni longo longo nyie heheheeh!!!
alafu kwenye fantasy ya foxsports nimefunika kinoma manake nilikuwa na defoe kanipa points 108.Wacheni longo longo nyie heheheeh!!!
Ngoja kwanza Arsenal ishinde au ipate sare tu kesho halafu tujiandae na Chelsea maana tukiwafunga Chelsea jumamosi basi...
mie naona tumefanya maisha magumu sana kupoteza mechi ya sunderland.zile ndio game za kuchukulia ubingwa kama kweli tuko serious.ugonjwa wetu hule hule miaka nenda rudi we cant push for a win,we cant win ugly,tunakuwa so relaxed utasema tumepewa masaa 24 to win the game.
kweli kabisa mkuu huwa wana kera sometimes.magoli mangapi watu wanafunga nje ya kumi na nane? kwanini wao kila saa wanataka kutembea na mpira mpaka kwenye nyavu hata kama hamna nafasi?Mwana hayo maneno hapo juu ni msumari kny kidonda....hawa watoto sometimes wanacheza kama vibishoo fulani, vinataka kucheza show game just kuonyesha how star they are......wanasahau kabisa objective ya ushindi.....yaani sometimes huoni kama hata wanatafuta goli & ushindi......!
Kama juzi,eti baada ya kufungwa ndo wanajifanya kutafuta goli kwa nguvu....wanakuwaga wapi? Nakubaliana na wewe kabisa, Gunners kama tunataka ubingwa pale, lazima tusikubali kupoteza vimechi vya mchangani kama Sunderland vile.....u can expect that from the best & big teams kama Man U, Liverpool, Chelsea.....not hivi vitimu vinavyotafuta pakufia incl Man city......! tukiendelea hivi hivi AR nakuhakikishia hata nne bora tunaweza kosa.......!Yes lazima tuseme ukweli sio tujifariji tu...!
Na pia nakuunga mkono tunahitaji jamaa kama Gerrad au Viera au Terry hivi.....kupush for win kuanzia kuhamasisha mashabiki na mpaka wachezaji ndani ya pitch.........!
.....kundi lingine la kulaumiwa wale washabiki wetu wanaojaza emirates stadium hawana nguvu kabisa ya kushangilia ku-push wachezaji kama viwanja vingine vya wenzetu
Hicho kipande mkuu kinakera sana! Unakumbuka ile game na Man U ya Chapionship ya Ulaya season iliyopita? Mashabiki wetu waliingia nafikiri kila mmoja alikuwa na kibendera cha Arsenal.....he!he!he!heheee baada ya Gibbs kufanya yale madudu pale .....na Sung Park kufanya vitu vyake......nikashangaa vile vibendera viliyeyuka kama theruji vile! Mashabiki wakaishiwa nguvu na appetite ya kushangalia mpaka tukapoteza ile game......!
nakumbuka vizuri sana lol.washabiki wetu pale uwanjani huwa wana give up mapema sana.Hicho kipande mkuu kinakera sana! Unakumbuka ile game na Man U ya Chapionship ya Ulaya season iliyopita? Mashabiki wetu waliingia nafikiri kila mmoja alikuwa na kibendera cha Arsenal.....he!he!he!heheee baada ya Gibbs kufanya yale madudu pale .....na Sung Park kufanya vitu vyake......nikashangaa vile vibendera viliyeyuka kama theruji vile! Mashabiki wakaishiwa nguvu na appetite ya kushangalia mpaka tukapoteza ile game......!
mbona washabiki wa burnley wanashangilia mkuuTimu mbovu jamani watafanya nini washabiki?
Timu mbovu jamani watafanya nini washabiki?
Masa kuwa objective bana.......!
Mkuu si halali kulaumu washabiki, basi tuwaazime washabiki wa Burnley! Nyie pale captain wenu yuko slack sana, hawatii motisha wenzake kucheza jihad!
Yes hapa ndo kuna ukweli na ndicho tunacholalamika hapa......ila ile post yako ingine ndo sikubaliana nayo, timu yetu siyo mbovu kihivyo!
Arsenal timu yenu ni nzuri sana, wala haina kasoro katika eneo lolote. Wakati mwingine mnafungwa kama matokeo ya mchezo tu, kwani mpira una kushinda na kushindwa. Ila wakati mwingine mnafungwa kwa mbinu za nje ya uwanja, mnafunwa kisaikolojia. Nanyi mmekuwa wepesi kujiona kuwa hamuwezi, kwa hiyo adui zenu wanafurahi. Ndio maana mashabiki wakifungwa tu wanakata tamaa, na wachezaji nao wanachanganyikiwa. Lakini mkiamua na mkisema tunaweza, mnaweza kusimama na timu yoyote na kuisimamisha.Waambie timu yetu nzuri but sii kisanaaa hasa kwenye maeneo flani. Kwenye ubovu hatupo.