Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,029 Sep 14, 2013 #27,281 Nzi said: Unajua maana ya kama kawa wewe Goons? Hii ni mara ya kwanza kwa Ozil na Giroud kucheza; sasa kama kawa ipi? Ya Ozil kutoa pasi ama Giroud kufunga? Click to expand... Naona Upo hapa kuomba njaa!
Nzi said: Unajua maana ya kama kawa wewe Goons? Hii ni mara ya kwanza kwa Ozil na Giroud kucheza; sasa kama kawa ipi? Ya Ozil kutoa pasi ama Giroud kufunga? Click to expand... Naona Upo hapa kuomba njaa!
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,913 Reaction score 10,263 Sep 14, 2013 #27,282 Wandugu Masanja said: Unaitwa kwenu kule, kila wakati uko kwa watu mpaka kwenu unasahau?au umesahau njia ya kurudi kwenu ndio umefika hapa Arsenal? Click to expand... Huyu ni Gunners mwenzio,amekimbia jukwaa muda mrefu hadi umemsahau
Wandugu Masanja said: Unaitwa kwenu kule, kila wakati uko kwa watu mpaka kwenu unasahau?au umesahau njia ya kurudi kwenu ndio umefika hapa Arsenal? Click to expand... Huyu ni Gunners mwenzio,amekimbia jukwaa muda mrefu hadi umemsahau
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,382 Reaction score 10,951 Sep 14, 2013 #27,283 Jaguar said: Naona Upo hapa kuomba njaa! Click to expand... Kuomba njaa kweli kweli...adui mwombee njaa, walisema waswahili. Ila Ozil namkubali, dah!
Jaguar said: Naona Upo hapa kuomba njaa! Click to expand... Kuomba njaa kweli kweli...adui mwombee njaa, walisema waswahili. Ila Ozil namkubali, dah!
DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,993 Reaction score 11,871 Sep 14, 2013 #27,284 Nzi said: Unajua maana ya kama kawa wewe Goons? Hii ni mara ya kwanza kwa Ozil na Giroud kucheza; sasa kama kawa ipi? Ya Ozil kutoa pasi ama Giroud kufunga? Click to expand... giroud kufunga! Alafu nenda kwenu
Nzi said: Unajua maana ya kama kawa wewe Goons? Hii ni mara ya kwanza kwa Ozil na Giroud kucheza; sasa kama kawa ipi? Ya Ozil kutoa pasi ama Giroud kufunga? Click to expand... giroud kufunga! Alafu nenda kwenu
P pachanya JF-Expert Member Joined May 20, 2012 Posts 2,064 Reaction score 2,266 Sep 14, 2013 #27,285 Nzi said: Unajua maana ya kama kawa wewe Goons? Hii ni mara ya kwanza kwa Ozil na Giroud kucheza; sasa kama kawa ipi? Ya Ozil kutoa pasi ama Giroud kufunga? Click to expand... Nzi hatuitaji Refa kutubeba wala mchezaji kupewa red .Hii kiungo ya Gunners ni hatari.. Ozil kaleta ladha mpya kati pale.
Nzi said: Unajua maana ya kama kawa wewe Goons? Hii ni mara ya kwanza kwa Ozil na Giroud kucheza; sasa kama kawa ipi? Ya Ozil kutoa pasi ama Giroud kufunga? Click to expand... Nzi hatuitaji Refa kutubeba wala mchezaji kupewa red .Hii kiungo ya Gunners ni hatari.. Ozil kaleta ladha mpya kati pale.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Sep 14, 2013 #27,286 Nzi said: Unajua maana ya kama kawa wewe Goons? Hii ni mara ya kwanza kwa Ozil na Giroud kucheza; sasa kama kawa ipi? Ya Ozil kutoa pasi ama Giroud kufunga? Click to expand... Kama kawa Giroud kufunga.
Nzi said: Unajua maana ya kama kawa wewe Goons? Hii ni mara ya kwanza kwa Ozil na Giroud kucheza; sasa kama kawa ipi? Ya Ozil kutoa pasi ama Giroud kufunga? Click to expand... Kama kawa Giroud kufunga.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Sep 14, 2013 #27,287 Wandugu Masanja said: Unaitwa kwenu kule, kila wakati uko kwa watu mpaka kwenu unasahau?au umesahau njia ya kurudi kwenu ndio umefika hapa Arsenal? Click to expand... Huyu mbona ni mdau wa humu muda mrefu? Au umemsahau kwa kuwa hachangii sana?
Wandugu Masanja said: Unaitwa kwenu kule, kila wakati uko kwa watu mpaka kwenu unasahau?au umesahau njia ya kurudi kwenu ndio umefika hapa Arsenal? Click to expand... Huyu mbona ni mdau wa humu muda mrefu? Au umemsahau kwa kuwa hachangii sana?
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,382 Reaction score 10,951 Sep 14, 2013 #27,288 DullyJr said: giroud kufunga! Alafu nenda kwenu Click to expand... Kwetu, tumeshamaliza kazi...
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,913 Reaction score 10,263 Sep 14, 2013 #27,289 Katavi said: Huyu mbona ni mdau wa humu muda mrefu? Au umemsahau kwa kuwa hachangii sana? Click to expand... Unajua watu wengi wamerudi baada ya Ozil kununuliwa, Walibaki Richard Balantanda Wacha1 na Ulimakafu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Katavi said: Huyu mbona ni mdau wa humu muda mrefu? Au umemsahau kwa kuwa hachangii sana? Click to expand... Unajua watu wengi wamerudi baada ya Ozil kununuliwa, Walibaki Richard Balantanda Wacha1 na Ulimakafu
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,382 Reaction score 10,951 Sep 14, 2013 #27,290 pachanya said: Nzi hatuitaji Refa kutubeba wala mchezaji kupewa red .Hii kiungo ya Gunners ni hatari.. Ozil kaleta ladha mpya kati pale. Click to expand... Sawa Ozil...
pachanya said: Nzi hatuitaji Refa kutubeba wala mchezaji kupewa red .Hii kiungo ya Gunners ni hatari.. Ozil kaleta ladha mpya kati pale. Click to expand... Sawa Ozil...
Questt JF-Expert Member Joined Oct 8, 2009 Posts 3,010 Reaction score 422 Sep 14, 2013 #27,291 Msaada... Link ya hii game Fasta.. Pleaseeee
P pachanya JF-Expert Member Joined May 20, 2012 Posts 2,064 Reaction score 2,266 Sep 14, 2013 #27,292 Nzi said: Kwetu, tumeshamaliza kazi... Click to expand... Tuwekee picha ya Beki wa Palace akipewa red au Van P akifunga penati..
Nzi said: Kwetu, tumeshamaliza kazi... Click to expand... Tuwekee picha ya Beki wa Palace akipewa red au Van P akifunga penati..
Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,029 Sep 14, 2013 #27,293 Nzi said: Kuomba njaa kweli kweli...adui mwombee njaa, walisema waswahili. Ila Ozil namkubali, dah! Click to expand... Poa mtu mzima!
Nzi said: Kuomba njaa kweli kweli...adui mwombee njaa, walisema waswahili. Ila Ozil namkubali, dah! Click to expand... Poa mtu mzima!
W Wandugu Masanja JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 1,584 Reaction score 553 Sep 14, 2013 #27,294 yule nzi haachi kurukaruka kila pahala Belo said: Huyu ni Gunners mwenzio,amekimbia jukwaa muda mrefu hadi umemsahau Click to expand...
yule nzi haachi kurukaruka kila pahala Belo said: Huyu ni Gunners mwenzio,amekimbia jukwaa muda mrefu hadi umemsahau Click to expand...
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,382 Reaction score 10,951 Sep 14, 2013 #27,295 pachanya said: Tuwekee picha ya Beki wa Palace akipewa red au Van P akifunga penati.. Click to expand... Kwani hayo ndiyo matokeo?!? Mimi nimekuwekea matokeo ya mechi.
pachanya said: Tuwekee picha ya Beki wa Palace akipewa red au Van P akifunga penati.. Click to expand... Kwani hayo ndiyo matokeo?!? Mimi nimekuwekea matokeo ya mechi.
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,382 Reaction score 10,951 Sep 14, 2013 #27,296 Ile siyo penati; beki aligusa mpira kabla. Lakini huo ndiyo mpira..... Nafuta kauli hii. Baada ya kuangalia kwa mara ya pili, ile ilikuwa ni penati halali. Beki hakugusa mpira kabisa.
Ile siyo penati; beki aligusa mpira kabla. Lakini huo ndiyo mpira..... Nafuta kauli hii. Baada ya kuangalia kwa mara ya pili, ile ilikuwa ni penati halali. Beki hakugusa mpira kabisa.
D Deon Member Joined Oct 16, 2012 Posts 7 Reaction score 1 Sep 14, 2013 #27,297 Hahaha penalty halali kabisa hiyo wana Arsenal achen ulalamish
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Sep 14, 2013 #27,298 Duh...!! Wamechomoa...!!
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Sep 14, 2013 #27,299 Deon said: Hahaha penalty halali kabisa hiyo wana Arsenal achen ulalamish Click to expand... Sio penati ile wewe....
Deon said: Hahaha penalty halali kabisa hiyo wana Arsenal achen ulalamish Click to expand... Sio penati ile wewe....
jong afrikaanse JF-Expert Member Joined Mar 17, 2013 Posts 675 Reaction score 998 Sep 14, 2013 #27,300 ramseeeeeeeeeeeeey........