Mkuu BAK usidharau kagoli kamoja.... Kama kakidumu huwa kanaleta RAHA sana.... Kama SPURS wangekuwa NGURUWE unajua ni watoto wangapi kwa GOLI moja??? HAHAHAHAHAHAAA... Lets enjoy the DAY kaka....
Khe khe khe khe khe
Hongera Wacha1 naona leo Wenger ametoa bahasha kubwa. Pamoja na pochi la Spurs, bahasha la Wenger lilikuwa noma.
Wakuu,
Mnakumbuka kwamba leo Arsenal imemaliza mchezo ikiwa na mabeki wanne wa pembeni ndani- yaani Gibbs, Monreal, Sagna na Jenkinson?
Pale nyuma palikuwa na mabeki mshahara Per Mertesacker, na Koscielny, wakicheza mbele ya kipa Szczesny.
Mshambuliaji wa pembeni alikuwa ni Theo Walcott ambae alitoka na akaingia Sagna.
Kiungo walibakia Flamini, Ramsey na Cazorla
Na mbele alibakia Giroud.
tunajaribu kuweka basi, vipi hukupenda?
Babu Fag alichelewa kuwahisha bahasha kule Anfield?
Tunajuwa Moye yupoyupo tu pale bado Babu anashughulika na bahasha
Kulikuwa hakuna dakika za nyongeza leo au Ref hakuangalia saa yake na wa kumkumbusha hakuwako benchi leo
Tukutane Novemba 10 pale OT.
Frustrating - Daniel Levy (left) and Franco Baldini have had fine summers
in the transfer market, but they couldn't influence on the pitch
Tajiri wa Totts kijasho chembamba kilimtoka .... ....... chezeya prof weye!
In Moyes We Trust.....
Mjini mipango................