Kuna watu wanasema wao sio arsenal lakini mioyoni mwao wanaipenda, leo watu wameongea sana baada ya FULL TIME nikaona kama kuna ukimya Fulani inanikumbusha TOTTENHAM wanavyosajili wachezaji kwa fujo mwishoni mwa ligi inakuwa ya TANO wanaitafuta UEFA CHAMPIONS LEAGUE kwa nguvu zote !