The last time I checked it was July 30th,On 10th of June 2013 Ivan Gazidis said, "This year we will strive to get our transfer business done early. We are trying to get things done."
Happy July 29th :embarrassed1:
Mkuu kashengo, tunajua mwisho wa msimu huu Arsenal ilikuwa stable.
Ukweli kuwa bado tunahitaji reinforcement.
Hata wachezaji wenyewe wanataka Wenger asajili.
Tunahitaji clinical finisher, na reinforcement pia kwenye midfield...
Usajili licha ya kuleta talent mpya, inainua morali ya wachezaji.
Ukiangalia majirani zetu walivokuwa serious kwenye usajili... Chelsea, City, Spurs, Liverpool, Utd...
Msimu ujao tutakuwa tunatafutanafasi ya kucheza uropa.
Mkuu Wacha1, ngoja tuendelee kuvumilia, ila tusiwe tena watu wa "tutafanya vizuri msimu ujao". ni misimu saba sasa imepita kimya kimya. Na hii Emirates Cup kama hatutalikosa kama mwaka jana au juzi mtanambia!!!!
The last time I checked it was July 30th,
and we have a free agent Sanogo in the bootroom.
Mkuu kashengo, tunajua mwisho wa msimu huu Arsenal ilikuwa stable.
Ukweli kuwa bado tunahitaji reinforcement.
Hata wachezaji wenyewe wanataka Wenger asajili.
Tunahitaji clinical finisher, na reinforcement pia kwenye midfield...
Usajili licha ya kuleta talent mpya, inainua morali ya wachezaji.
Ukiangalia majirani zetu walivokuwa serious kwenye usajili... Chelsea, City, Spurs, Liverpool, Utd...
Msimu ujao tutakuwa tunatafutanafasi ya kucheza uropa.
Hebu ngoja kidogo mkuu...hapo ni kweli Gazidis alisema uongo ila kwa akili ya kawaida huwezi kwenda kushindania Premier league bila makipa 3 wazuri na sasa tunao wawili ambao ni competitive...I guess watarudi kwa julio Cesar maana hana timu unayomuitaji sasa na Agent wake alishasema "Arsenal is only remained option" shida ni kuwa ameambiwa apunguze personal demands zake na QPR hawana uwezo wa kuendelee na wachezaji wa aina ya Cesar maana wana mishahara mikubwa na jamaa mwakani World cup anataka awe kikosi cha kwanza BRAZIL na huwezi kuwa kipa no moja Brazil ukipambana na Milwall,doncaster utd,Preston, Leeds etc kila wiki
Ishu nyingine Tumeondoa under-performers wengi sana ku free up wage bill naamini tutafanya Quick deals kwa wachezaji watatu...akiwemo beki wa kati maana Djoruo japo ni mchezaji wetu ndio keshaenda humburg kwa mkop na Squillaci hayupo tena...we need a defender for pairing Thomas vermaelen na atakuja...let's be patient wenger ananunua wachezaji kwa style ya aina yake mwenyewe
kuna jambo flani wengi tunalisahau hapa tulicheza mechi 10 baada ya feb 2013 baada 2-1 defeat pale white Harte lane katika kiwango cha juu sana na tuliona timu ili gain momentum ya kutosha kwa mechi zile tulidraw na man utd na Everton..hapa naongelea kama Wenger aki capitalise kwenye stability ya mwisho wa msimu na akaongeza few players tutafanya vizuri
Mi mtazamo wangu though fans tuko frustrated na delays za transfer kuna balaa flani kwenye Soko siku hizi wachezaji wanauzwa kwa bei ambayo ni INFLATED hata x2 hadi x3 na Wenger ni mtu anaependa ku bargain na kununua at "right value" sasa soko likielekea mwishoni kuna uwezekano mkubwa kukawa na ''SUPRIZE" buy kwani hata issue ya Suarez naiona kama ni smoke screen
kuna wachezaji Arsenal wamenunuliwa past two seasons mwishoni mwa dilisha Mfano.Santi mwaka jana alinunuliwa August 5 na Giloud August vilevile na akina Per,Arteta,Babtista,Arshavin na wengine walinunuliwa last day sasa tusubiri hiyo siku ikishapita tutajua kama kweli ni mbivu au Mbichi
Mi naamini atanunua na wengi sana hapa kundini "haters" wanafurahia sana wenger asinunue tuendelee kusuasua ila i believe timu nzuri inajengwa kuanzia kwenye stability ya kikosi "tushukuru hatujavurugiwa kikosi" this time arround
The way namjua Wenger, hashindwi kusema we have Szczesny, Fabianski and Martinez who is coming through, as in we should develop our own talent.
Watu tumemind kwakuwa ni wao wenyewe wamejiongelesha kuwa wana hela na wanataka kuimarisha kikosi plus doing business early. Sasa unapoona muda unaenda unajiuliza how early did they mean? Alafu Liverpool wangeweza kutuuzia Suarez hata kwa paundi milioni 30 kwa kuwa na wao wamechoka vituko vyake na pia mchezaji anataka kusepa lakini sisi kujifanya jeuri na kuitangazia dunia kuwa tuna hela ndo tunaongezewa bei namna hiyo. Angalia hata Higuain Perez alishapanga dau lakini baadae akaona aongeze. Ni ujinga wetu wenyewe.
Alafu twende mbele turudi nyuma lakini kutofungwa takribani mechi kumi za mwisho tulifanya vizuri ndio lakini pia angalia tulicheza na nani? Most of the top 5 teams tulikuwa tushamalizana nao mapema ukiacha Man Utd. Kwahiyo tusijidanganye na kushinda mechi agaisnt team zenye viwango vidogo kwa sababu ukiangalia msimu uliopita tumeshinda mechi ngapi against top 5 teams inasikitisha that is the reasons we should strengthen. To put you into perspective:
Arsenal 1-2 Chelsea (Home)
Chelsea 2-1 Arsenal (Away)
Man Utd 2-1 Arsenal (Away)
Arsenal 1-1 Man Utd (Home)
Man City 1-1 Arsenal (Away)
Arsenal 0-2 Man City (Home)
Arsenal 5-2 Spurs (Home)
Spurs 2-1 Arsenal (Away)
Everton 1-1 Arsenal (Away)
Arsenal 0-0 Everton (Home)
Do you see why we are worried? Also, its not like we have been buying only decent players during the deadline day. Remember we bought Park and Santos too? So it can be either way. I have had hopes for years but right now I just have to see how things will go and to be frank I do not see how optimistic I can be without some great signings. Wachezaji wenyewe wamekuwa wakilisemea hili, wakina Ramsey, Wilshere, Sagna, Arteta, Podolski na Giroud wote wamesema ni kiasi gani itakuwa muhimu kununua wachezaji kama Suarez, Higuain au Rooney. Lakini leo Wenger anasema we can challenge even without new signings. Does it take Mourinho to know that Arsenal hakuna established Defending MIdfielder? Clinical Striker. Depth in defence? Back up GK as we know both Fab and Woj are injury-plagued? Aargh :bored:

Wakuu swala la kununua wachezaji sio rahisi kama baadhi ya members wanavyofikiri siku hizi soka ni umafia tu, tutapata wachezaji muhimu kabla ya dirisha kufungwa, tayari tuna wachezaji nyota ambao mwaka jana hawakuwika mfano Jack Wilshere, na kijana hatari wa miaka 16 ambaye ameonyesha umahiri wake katika kabumbu alipokuwa kule far east ..... ..... ..... mategemeo ya sure Boy, golikipa na mchezaji moja wa nyuma. Usajili ni siri hata hii ya Sure Boy ni Loser fools ndio walimwaga mtama lakini angetua kwa kushtukiza vile vile Wine Romney anaweza kutua Emirates bado muda upo. COYG .... ....
The way namjua Wenger, hashindwi kusema we have Szczesny, Fabianski and Martinez who is coming through, as in we should develop our own talent.
Watu tumemind kwakuwa ni wao wenyewe wamejiongelesha kuwa wana hela na wanataka kuimarisha kikosi plus doing business early. Sasa unapoona muda unaenda unajiuliza how early did they mean? Alafu Liverpool wangeweza kutuuzia Suarez hata kwa paundi milioni 30 kwa kuwa na wao wamechoka vituko vyake na pia mchezaji anataka kusepa lakini sisi kujifanya jeuri na kuitangazia dunia kuwa tuna hela ndo tunaongezewa bei namna hiyo. Angalia hata Higuain Perez alishapanga dau lakini baadae akaona aongeze. Ni ujinga wetu wenyewe.
Alafu twende mbele turudi nyuma lakini kutofungwa takribani mechi kumi za mwisho tulifanya vizuri ndio lakini pia angalia tulicheza na nani? Most of the top 5 teams tulikuwa tushamalizana nao mapema ukiacha Man Utd. Kwahiyo tusijidanganye na kushinda mechi agaisnt team zenye viwango vidogo kwa sababu ukiangalia msimu uliopita tumeshinda mechi ngapi against top 5 teams inasikitisha that is the reasons we should strengthen. To put you into perspective:
Arsenal 1-2 Chelsea (Home)
Chelsea 2-1 Arsenal (Away)
Man Utd 2-1 Arsenal (Away)
Arsenal 1-1 Man Utd (Home)
Man City 1-1 Arsenal (Away)
Arsenal 0-2 Man City (Home)
Arsenal 5-2 Spurs (Home)
Spurs 2-1 Arsenal (Away)
Everton 1-1 Arsenal (Away)
Arsenal 0-0 Everton (Home)
Do you see why we are worried? Also, its not like we have been buying only decent players during the deadline day. Remember we bought Park and Santos too? So it can be either way. I have had hopes for years but right now I just have to see how things will go and to be frank I do not see how optimistic I can be without some great signings. Wachezaji wenyewe wamekuwa wakilisemea hili, wakina Ramsey, Wilshere, Sagna, Arteta, Podolski na Giroud wote wamesema ni kiasi gani itakuwa muhimu kununua wachezaji kama Suarez, Higuain au Rooney. Lakini leo Wenger anasema we can challenge even without new signings. Does it take Mourinho to know that Arsenal hakuna established Defending MIdfielder? Clinical Striker. Depth in defence? Back up GK as we know both Fab and Woj are injury-plagued? Aargh :bored:
Mkuu Wacha
Usipige kelele kuna wanoko huko nje kila wakati wanatia timu hapa kutafuta nani anakuja kwenye chama,
Mtu yeyote mwenye access na internet anajua wapi kwa kupata habari za usajali, na sio JF kwenye jukwaa la Arsenal kwa sababu kila knacholetwa hapa kwa asilimia 100% kinakopiwa kutoka kwenye mitandao ya magazeti ya ulaya. Kinachokuja hapa sio kipya mkuu, acha uzushi.
mbona huendi kule kwenye jukwaa lenu, kila asubuhi unaamkia hapa, kiukweli wengi wenu ni Arsenal fans ndio kwamba hamuishi kupitia hapa
Mkuu MH,
Your post is absolutely spot-on! It is not very common to read such an honest comment from Arsenal fans. Very refreshing. Ningeandika mimi ningeitwa hater, hahaha:smiling:. That's why we love football.
Respect!!
You guys should go to the market for a new manager.