Achana chezea Professor AW ww! Bonge ya mtaalam wa kuchungulia vipaji adhim!
Prof. kachema mambo ya usajili ni siri chacha nyie mnataka kumchagulia timu? Si muwe mameneja mjichagulie wachezaji wenu? Wacha prof. afanye kazi yake ....... ....... ameshasema mlango bado uko wazi ngojeni mlango ufungwe halafu muanze kusema kawaongopea.
Kweli we una roho ngumu aiseh!!! kwa kujifariji tu hujambo
BTW habari za Gunners zinakuja na pics kutoka kule Japan .... ..... .... Mambo ya Woods bado hayajakaa uzuri lakini tinachubiri kesho afanye business .... ...
Nafahamu wewe ni moja kati ya wale wanaoweweseka na habari za Emirates kwa sababu tuna tisha, mpunga tunao uwanja unaingiza mpunga kila mechi na sisi washabiki ambao tunatambua mafanikio aliyoleta Prof hatuna wasi wasi, wenye wasiwasi ni wenye wivu kama wewe. Mlimlilia na kupiga magoti tuwauzie Judas tukawapa lakini nyinyi mnahaha hamuwezi kumwacha mtoto wa watu Wine Romney aondoke na mnamtishia maisha yake. Mmekaa na kuwakumbatia mashoga, mwaka huu mtakiona cha mtema kuni.
2013 Winner of The open is Phil Mickelson.
Katika timu zenye hela ni nyinyi mpo? Bora hata Tottenham
Katika timu zenye hela ni nyinyi mpo? Bora hata Tottenham
Higuain to Napoli (as it has been reported by different sources tonight). Now it is likely Madrid will come rushing for Suarez and Chelsea want Rooney really bad!! We just keep saying 'we are working on big signings' while others sign them!! How are you supposed to stay optimistic while this happens every summer and its why we are stuck fighting for the CL spot for nearly 9 years now? Smh