Arsenal hata iwe na fedha kiasi gani usajili wa Wenger unajulukana hana ubavu wa kugombea wachezaji na timu nyingine kubwaThis is typical wenger signings hataki mambo ya bidding wars hata Jovetic na Higuain hawatokuja Arsenal we utakuja kusikia "suprise"
Arsenal hata iwe na fedha kiasi gani usajili wa Wenger unajulukana hana ubavu wa kugombea wachezaji na timu nyingine kubwa
Unachanganya mambo huko nyuma umesema kwamba Arsenal msimu huu wako kizuri financial so kuanzia msimu huu mtaanza kununua wachezaji wakubwaMan utd mliwahi mgombea nani wakati wa Alex ferguson nina uhakika zote mlifeli..Ronaldinho alikuwa aje man utd walivyotokea Barca unajua kilichotokea, Lucas Moura Psg waliwafanyia Umafia hamkuamini, Alan Shearer,Arjen Robben,Mikel Obi,Michel Essien,Sol Campbell,Gareth Bale,Michel Ballack,Hazard wote mlinyanganywa tonge mdomoni na hawa ni wachache...unasahau ya kwenu hau huyajui kijana
Bidding war ni upuuzi flani maana mawakala na timu zinataka wale wamwaga mpunga huku wamefumba macho "wanachelewesha kumuuza makusudi" na price inashoot triple times mpaka Ferguson alilalamika Lucas Moura kununuliwa £25mil na miaka 19,hana uzoefu n.k
Kama Benteke anauzwa £30mil (inflated price x3) Ozil,Benzema,Dzeko,Di maria,Lavezzi wao shillingi ngapi?
Binafsi sikumjua Nacho Monreal,Giloud,koscielny,scheszny na hata Santi nani alijua Arsenal watamchukua?
Mwacheni Arsene afanye anavyotaka we ngojea yenu
Unachanganya mambo huko nyuma umesema kwamba Arsenal msimu huu wako kizuri financial so kuanzia msimu huu mtaanza kununua wachezaji wakubwa
Wachache ambao SAF aliwasajili ni Berbatov,CR7,Jones,Anderson,Kagawa,De Gea,RVP,Da Silva,
Then kuna kunyanganywa mchezaji na kuna mchezaji mwenyewe kutaka kwenye timu anayoitaka Ronaldinho hakutaka kuja England sababu sio kuwa ManU walishindwa dau,Bale aliogopa akija Manu atapigwa benchi na Evra/Giggs
Roben,Mikel,Moura sawa but huwezi linganisha na wachezaji aliowashindwa Mr Bean niliwaorodhesha hapa ntajaza hao uliwaorodhesha hawajafanya chochote zaidi ya kuwasaidia kutetea nafasi yenu ya 4
Cr7 mlikuwa mna Bid na nani na alijulikana wapi wakati huo 2003? Anderson alikuwa star porto(maajabu)? Kagawa mlikuwa na nani vile? Jones nae mlikuwa mwangombea? Na nani? RVP bidding war na City msingeiweza shukuru alitaka kuja OT mwenyewe!
Sijichanganyi niliposema Arsenal wanaweza sasa kuleta wachezaji wazuri maana yake ni kuleta wachezaji na kuwalipa "attractive wages" na usidhani kila wachezaji wazuri wanagombaniwa ndugu!
We ulimjua Cabaye,Cisse,Gutierez na wengine kabla hawajaletwa Newcastle? We ulimjua michu? Nasri,Hleb, Rvp, Flamini ulikuwa unawajua?
Kuna Top players arround the world wanaotakiwa kuwa sorted si lazima akina Falcao na Lawandoski..Borrusia dortmund wamenunua kwa nani wale wachezaji wao? Jibu ni vipaji na kukaa muda mrefu pamoja ndo unawaona wanatisha!
Arsenal hainunui kama unavyotaka kaa pembeni kama mtazamaji...eti wachezaji wa kawaida mliyasema hayo kwa RVP baadae udenda huo ukawatoka...who is man utd creative mildfielder who is better than Cazorla on your current squad (niwekee na starts zake haraka)
Unazidi changanya mambo,issue sijasema Arsenal iwasajili kina Lewandoski/Falcao najua Wenger hana ubavu wa kufanya hicho kitu kuna wachezaji ambao wao wenyewe walitaka kuja Arsenal kama Cahil,Samba,Yaya Toure,Zlatan,Mvilla,Mata na wengineo but Mr Bean alishangaa watu wakaja wasajili moja kwa moja.SAF akitaka mchezaji kama yuko available na yeye anamtaka huwa hajiulizi mara sita kama Wenger.Unajua Wenger ndiyo alikuwa wa kwanza kumuona CR7 na alitaka toa paundi mil 4 then Sporting walicheza na Manu baada ya game SAF akatoa pauni mil 12 na kumsajili kabisa,RVP-Juventus,City na Manu wote walimtaka,Phil Jones alitakiwa na Liverpool,Manu na Arsenal
Then football ni team work sport,huwezi kujivunia mafanikio ya mchezaji mmoja sawa Carzola,Wilshere ni creative players but niambie wamesaidia Arsenal kushinda kombe gani?
Michael Carick ambaye kwako ni mbovu but amechukua EPL mara 5 na Champions league mara moja pale united
Wachezaji kama Benteke,Cabaye,Tiote,Williams wako cheap na wanaifaa Arsenal but still Wenger anazubaa na financial Arsenal kwa sasa ni ya 5 ulaya wakiwa wamezidiwa na Real/Barca/Manu na Bayern.Kama atendelea kusajili hao wachezaji wa France mtaendelea kutetea ubingwa wenu hata miaka 5 mingine
Naomba kujua wenzangu Ashiley wiliam wa swasea amesaini asernal tuambiane jamani mwenzenu
Nafahamu wakuda watakuja na majungu kibao Arsenal ladies wanachukua FA cup hapa hadi chacha wanaongoza kwa goli mbili bila dakika ya 85 wanaendelea kuvunja record ya mataji .... ... ... ... unaweza kuiona hii mechi live ITV Ooops BBC2 bila kusahau mambo ya Rolland Garros ambayo yameanza .... .... ... .. pics baadaye ... .... .... two headed goals excellent ... .....
Unazidi changanya mambo,issue sijasema Arsenal iwasajili kina Lewandoski/Falcao najua Wenger hana ubavu wa kufanya hicho kitu kuna wachezaji ambao wao wenyewe walitaka kuja Arsenal kama Cahil,Samba,Yaya Toure,Zlatan,Mvilla,Mata na wengineo but Mr Bean alishangaa watu wakaja wasajili moja kwa moja.SAF akitaka mchezaji kama yuko available na yeye anamtaka huwa hajiulizi mara sita kama Wenger.Unajua Wenger ndiyo alikuwa wa kwanza kumuona CR7 na alitaka toa paundi mil 4 then Sporting walicheza na Manu baada ya game SAF akatoa pauni mil 12 na kumsajili kabisa,RVP-Juventus,City na Manu wote walimtaka,Phil Jones alitakiwa na Liverpool,Manu na Arsenal
Then football ni team work sport,huwezi kujivunia mafanikio ya mchezaji mmoja sawa Carzola,Wilshere ni creative players but niambie wamesaidia Arsenal kushinda kombe gani?
Michael Carick ambaye kwako ni mbovu but amechukua EPL mara 5 na Champions league mara moja pale united
Wachezaji kama Benteke,Cabaye,Tiote,Williams wako cheap na wanaifaa Arsenal but still Wenger anazubaa na financial Arsenal kwa sasa ni ya 5 ulaya wakiwa wamezidiwa na Real/Barca/Manu na Bayern.Kama atendelea kusajili hao wachezaji wa France mtaendelea kutetea ubingwa wenu hata miaka 5 mingine
Mkuu Arsenal ni timu ya nne duniani nilitoa link hapo nyuma kidogo.
Halafu si timu zote ziendeshwe sawa na ndio maana kuna zile zinajozitegema kimapato na zile zinazopewa pesa na vibopa wenye fedha kutoka nje ya UK.
Arsene Wenger alipokuwa akiwakilisha mpango wake wa miaka 10 wa kuihamisha Arsenal kutoka Highbury kwenda Emirates mwaka ule wa 2000 aliwaambia wakurugenzi kwamba utakuwa ni mpango wenye matatizo mengi na ungechukua muda huo kuleta mafanikio.
Ila aliwahakikishia kwamba Arsenal isingekosa kucheza Champions League ammbyo inatoa incentives kwa timu shiriki maana ni Elite Competition.
Sasa deni la uwanja limeisha na ni wakati wa kutumia na utaona Arsenal inafanya mabadiliko ya wage structure na aina ya wachezaji itakaosajili.
Ila unasahau kwamba kwa sasa Man Utd haina midfielder wa kueleweka ukiondoa Michael Carick na Everton watamkatalia Moyes kumsajili Marouane Fellaini kwani hata hivyo haivi sana na Moyes.
Ni media ya UK ndiyo imeibebesha sana Man Utd na kama sio Alex Ferguson kumlazimisha Wenger amuuzie RVP kwa kutaka kujifurahisha yeye binafsi kwa kutwaa kikombe cha mwisho akiwa meneja wa Man Utd, timu hiyo ingekuwa inachezea nafasi za katikati kwenye msimamo wa ligi.
Angalia takwimu utaona RVP ameifungia magoli mangapi Man Utd.
Msimu ujao kuna mambo mawili yatatokea kwanza hakutakuwa na most influencial manager kwenye mechi za Man U na timu zingine, maana alizoea kuwakaripia waamuzi na kuwatishatisha.
Pili, FFP inatia tinga na unaona Man City inabidi wamuuze Edin Czeko na mchezaji mwingine ili wanunue mshambuliaji wa kueleweka.
Na sio kwama timu za Man City, Man U na Chelsea hawana fedha kutoka kwa backers lakini Arsenal nao safari hii wana pesa za kutumia.
Msimu juao mtaijua Arsenali.