Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

_67697962_67697961.jpg

Tonic .... ..
 
Point to note:

Arsenal haitauza mchezaji yoyote yule muhimu mwaka huu na inahitaji wachezaji wawili watatu tu.

Arsenall ina kitita cha fedha za kutosha kununua mchezaji yoyote yule mwaka huu.

Halikdhalika Arsenal aina hofu yoyote ile ya kuuza wachezaji kwani uuzaji wa wachezaji waliotangulia ulikuwa unatokana na matatizo waliyokuwa nayo wachezaji hao ukiondoa Cesc Fabregas.

Arsenal inarudi kwenye msimu ujao ikiwa na timu kamili na yenye uchu wa kunyakua kombe lolote lile.

Kwa sasa tunaelekea kwenye Tour of Asia na tutarudi na nia mpya.

Kaka kuanzia next season tunarejesha heshima yetu "pride of north London" unajua kwa post niliyoweka leo mchana iko katika ufafanuzi wa WENGER kupitia Press comference 2 zilizopita

Deni la uwanja limeisha,tuna pesa za stadium naming rights za Emirates,mkataba wa vifaa vya michezo wa Puma!

Ila ndugu hii transition ilitaka kututia wazimu dah ila kwa jinsi wachezaji nyota walivyokuwa wanaondoka Arsene ni bonge la kocha kuendelea kuhimili vishindo+presha ya media za waingereza

NEXT step wabadilishe wage structure ili kuvutia world class players na haters watatukoma hasa wala watakao kuwa kwenye Alex's success syndrome! Tuombe uzima

Gunner for life
 
  • Arsenal_2947116.jpg
  • laurent-koscielny-arsenal-newcastle_2946973.jpg
  • alan-pardew-arsene-wenger-arsenal-newcastle_2946984.jpg
  • laurent-koscielny-arsenal-newcastle_2947030.jpg
Arsenal won 1-0 at Newcastle on the final day of the Barclays Premier League season to finish fourth.

THANK YOU ALL especially GUNNER'S kwenye kijiwe hiki special ambacho BANTER zimekuwa zikitembezwa usiku na mchana.

Our season this year was a roller-coaster. We have ride safely na tumeogelea na kutoka salama katika kiwango ambacho kwa timu yetu ni zawadi ya mwisho.

SPUR'S wamepata haki yao kulingana na historia na uwezo wao. Hakuna malalamiko. They belong to Europa League. SIMPLE.

Kilichobaki kwa timu yetu ni mabadiliko makubwa siyo katika wachezaji tu, bali hata backroom staff.

Bing'we Banhamala, Nhalumba gete.
 
Hakuna kitu kibaya na kinacholeta aibu kama MOB MENTALITY. Hebu angalia hii picha upande wa kulia uone yule mwanaMama na jamaa jinsi wanavyofanya na vidole vyao baada ya GUNNER'S kufunga goli. £1,000,000 waliyokuwa wamehongwa na SPUR'S Chairman kuwapa wafanyakati iliota mbawa.
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    84.2 KB · Views: 39

Mkuu usiwe na wasi wasi na chichi hamjaweza kuvunja record ya invincibles mambo ya brown envelopes yanakwisha technology inakuja chacha titaona mtatokea wapi ndio chababu kababu kamefukuzwa khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kazi kukomalia ushoga tu phew!

Tushawazoea na porojo zenu
 
Point to note:

Arsenal haitauza mchezaji yoyote yule muhimu mwaka huu na inahitaji wachezaji wawili watatu tu.

Arsenall ina kitita cha fedha za kutosha kununua mchezaji yoyote yule mwaka huu.

Halikdhalika Arsenal aina hofu yoyote ile ya kuuza wachezaji kwani uuzaji wa wachezaji waliotangulia ulikuwa unatokana na matatizo waliyokuwa nayo wachezaji hao ukiondoa Cesc Fabregas.

Arsenal inarudi kwenye msimu ujao ikiwa na timu kamili na yenye uchu wa kunyakua kombe lolote lile.

Kwa sasa tunaelekea kwenye Tour of Asia na tutarudi na nia mpya.

Ukweli ni kwamba hakuna mchezaji yoyoyte wa maana aliyebaki Arsenal ambaye anauzika kwa timu kubwa. Wote ni average players, nobody want them. Labda Wilshere baada ya miaka minne anaweza kuwa angalau mchezaji wa akiba kwenye timu kubwa.
 
Point to note:

Arsenal haitauza mchezaji yoyote yule muhimu mwaka huu na inahitaji wachezaji wawili watatu tu.

Arsenall ina kitita cha fedha za kutosha kununua mchezaji yoyote yule mwaka huu.

Halikdhalika Arsenal aina hofu yoyote ile ya kuuza wachezaji kwani uuzaji wa wachezaji waliotangulia ulikuwa unatokana na matatizo waliyokuwa nayo wachezaji hao ukiondoa Cesc Fabregas.

Arsenal inarudi kwenye msimu ujao ikiwa na timu kamili na yenye uchu wa kunyakua kombe lolote lile.
Kwa sasa tunaelekea kwenye Tour of Asia na tutarudi na nia mpya.

Hii sentensi tumeisikia sasa huu mwaka wa nane hakuna kitu....Arsenal ni kama CCM magamba, promise kibao lakini ikifika kwenye vitendo zero.
 
Well done.......Hata mtu akonde vipi... MABEGA HAYAWEZI VUKA KICHWA..... USajili wa maana and may be we will be title contenders next season.... CL place attarcts BIG players in our club....

Very strong words.
 
Kaka kuanzia next season tunarejesha heshima yetu "pride of north London" unajua kwa post niliyoweka leo mchana iko katika ufafanuzi wa WENGER kupitia Press comference 2 zilizopita

Deni la uwanja limeisha,tuna pesa za stadium naming rights za Emirates,mkataba wa vifaa vya michezo wa Puma!

Ila ndugu hii transition ilitaka kututia wazimu dah ila kwa jinsi wachezaji nyota walivyokuwa wanaondoka Arsene ni bonge la kocha kuendelea kuhimili vishindo+presha ya media za waingereza

NEXT step wabadilishe wage structure ili kuvutia world class players na haters watatukoma hasa wala watakao kuwa kwenye Alex's success syndrome! Tuombe uzima

Gunner for life

Ahsante Kashengo kwa kuliona hilo. North London iko kwenye balance kati yenu na Spuds, lakini the WHOLE London belongs to Chelsea. The Blues are pride of London.
 
Ahsante Kashengo kwa kuliona hilo. North London iko kwenye balance kati yenu na Spuds, lakini the WHOLE London belongs to Chelsea. The Blues are pride of London.

Rafael Benitez bado hamumtaki? Alafu ebu peruzi kwenye mitandao ya Arsenal utagundua kitu ndo maana nimeweka muhtasari kwenye post moja hapa! Ile balaa la kifedha na kunyanyasika kwa miaka 8 limeisha na sasa tutaishi maisha mapya!

Tangu 2005 Arsenal imelazimika kuishi maisha magumu "prudent financial model" na ikalazimika kuweka strict wage structure na wachezaji nyota ikawa vurnelable kukaa nao wakawa wakitaka mishahara mikubwa wanaondoka...karibu wachezaji nyota wote walifuata pesa na vikombe ispokuwa Fabregas na Reyes (Home sick)

Taarifa ya September mwaka jana kwenye kikao cha Board na Arsenal supporters trust (AST) wenger alisema "tutaanza kushindana baada ya miaka 2 kwani sasa hatuwezi kushindana na vilabu vikubwa vyenye pesa" Miaka 2 ni kuanzia season ijayo kwani Deni la miaka 8 la uwanja £360+interest rates (adjusted inflation) limeisha nadhani hujui limelipwaje nakujuza Tv revenues,Ticket sales,merchandise revenues,kuuza wachezaji nyota,na recently pesa zimetokana na mikataba mipya ya Fly Emirates na Puma!

That financial madness is behind us no more silly exodus timu itajengwa kupitia british spine ya wilshere,jenkinson,ramsey,oxlade chambelain,theo walcott,gibbs hawa wamesaini miaka 5 mwaka jana kwani watakaa sana ukichanganya na wageni wengine kama Arsene 96 alivyowakuta keown,adams,wright,winterburn,bould,parlour,seaman na Lee dixon nae akaongeza wafaransa wake unakumbuka manyanyaso uliyoyapata kabla ya 2003 Russian revolution!

WENGER ndo kocha wa kutuondoa hapa tulipo kama kipindi cha mpito amegangamala pamoja na bajeti finyu kama ya Everton ila hatujawahi kumaliza nje ya CL spot na kama akicheza karata zake vizuri kwenye transfer tutapambana next season hata kama hatutofanikiwa kupata kombe ila wenger kasema "top 4 spot is not enough next season we'll have to challenge major honours.

Alafu acha ushabiki wa kitoto kushinda hapa unabwabwaja
 
Mkuu kashengo mie naomba sana tuingie kwenye kinyang'anyiro cha kuwasajili Bale na Benteke. Bale (player of the year) alishasema kwamba Tottenham kama hawatakuwemo katika top 4 basi ataondoka na yule Benteke msimu huu amejidhihirisha kwamba ni moto wa kuotea mbali. Tukiweza kuwasajili hawa wawili safu yetu ya washambuliaji itaweza kuitetemesha ngome ya timu yoyote ile duniani na kuziona nyavu. Pia tukapata wachezaji watatu au wanne wakali ili kuimarisha defence na pia golikipa wa uhakika.

Ila wasiwasi wangu AW kama ilivyo kawaida yake ataishia kusajili wachezaji ambao bado hawajajiestablish katika ulimwengu wa soka na hivyo kuishia kugombania kuchukua nafasi ya nne badala ya kuwania ubingwa. Nina wasiwasi pia hawa akina Bale na benteke wataishia katika moja ya timu hizi tatu, MANU, MANC au Chelsea. Ngoja tusubiri tuone.
 
Mkuu kashengo mie naomba sana tuingie kwenye kinyang'anyiro cha kuwasajili Bale na Benteke. Bale (player of the year) alishasema lwamba Tottenham kama hawatakuwemo katika top 4 basi ataondoka na yule Benteke msimu huu amejidhihieisha kwamba ni moto wa kuotea mbali. Tukiweza kuwasajili hawa wawili safu yetu ya washambuliaji itaweza kuitetemesha ngome ya timu yoyote ile duniani na kuziona nyavu. Pia tukapata wachezaji watatu au wanne wakali ili kuimarisha defence na pia golikipa wa uhakika.

Ila wasiwasi wangu AW kama ilivyo kawaida yake ataishia kusajili wachezaji ambao bado hawajajiestablish katika ulimwengu wa soka na hivyo kuishia kugombania kuchukua nafasi ya nne badala ya kuwania ubingwa. Nina wasiwasi pia hawa akina Bale na benteke wataishia katika moja ya timu hizi tatu, MANU, MANC au Chelsea. Ngoja tusubiri tuone.

Kumnunua Bale haiwezi tokea hata kidogo kumbuka Totenham hawamezi kutuuzia mchezaji wao nyota! Sol Campbell mwaka 2001 alipoenda Arsenal bure mpaka leo wanamwita Msaliti...Benteke yah bonge la mchezaji a.k.a young Drogba ila bei yake ni £25 milioni kung'oa pale villa park kwa bei aliyoweka Paul Lambert

Kuna uwezekano mkubwa akanunua established players na mpaka sasa hajakana kumtaka JOVETIC wa fiorentina na hata wakala wake na Luca Toni amethibitisha kuwa Arsenal wameonyesha interest

Kuna kitu tunasahau timu kama Arsenal inakuwa na global scouting network wanawaona wachezaji nyota na Arsene anajua kuwa ana average players wengi na mungu saidia kuna panga la kuwaondoa wote pale msimu huu

Kingine si kila mchezaji mzuri anafit kwenye mfumo wa wenger nakumbuka miaka ya 2000 Davor suker alikuja na akachemsha highbury na Babtista

keep the faith on Arsene BAK
 
Last edited by a moderator:
Mie naamini kabisa Gunners hawawezi kushindwa kulipa 25 million pound. Bank account ya Gunners imenona ila ni ubahili tu wa kutaka rahisi rahisi.

Unpokata miaka nane bila hata kombe moja basi huu utaratibu wa kusajili wachezaji una kasoro kubwa na hivyo inabidi uangaliwe kwa kina. Hata nafasi ya nne ilikuwa al manusra tuipoteze na kisha unapoona wacheza wako wazuri kila mwaka wanataka kuikimbia timu basi ujue ndani ya timu kuna kasoro kubwa sana na hivyo kuna kila sababu ya kujiuliza kulikoni!?

Kumnunua Bale haiwezi tokea hata kidogo kumbuka Totenham hawamezi kutuuzia mchezaji wao nyota! Sol Campbell mwaka 2001 alipoenda Arsenal bure mpaka leo wanamwita Msaliti...Benteke yah bonge la mchezaji a.k.a young Drogba ila bei yake ni £25 milioni kung'oa pale villa park kwa bei aliyoweka Paul Lambert

Kuna uwezekano mkubwa akanunua established players na mpaka sasa hajakana kumtaka JOVETIC wa fiorentina na hata wakala wake na Luca Toni amethibitisha kuwa Arsenal wameonyesha interest

Kuna kitu tunasahau timu kama Arsenal inakuwa na global scouting network wanawaona wachezaji nyota na Arsene anajua kuwa ana average players wengi na mungu saidia kuna panga la kuwaondoa wote pale msimu huu

Kingine si kila mchezaji mzuri anafit kwenye mfumo wa wenger nakumbuka miaka ya 2000 Davor suker alikuja na akachemsha highbury na Babtista

keep the faith on Arsene BAK
 
[h=1]Premier League 2012-13 review: player of the season[/h]Luis Suárez and Gareth Bale have made our shortlist, but Robin van Persie hasn't. Now let us know your nominations

Luis-Suarez-008.jpg

Luis Suárez: villain or victor in this season's poll? Photograph: John Powell/Liverpool FC via Getty Images

Welcome to guardian.co.uk's review of the 2012-13 Premier League season. Now that the campaign has ended we would like you to help us choose your favourite goal, the best signing and the best manager, as well as eight other categories.
We have nominated some contenders, but this is just to get the discussion going: we would like your suggestions so that we can compile the best into final polls that you can vote on. The polls will be published at midday on Tuesday 21 May, so please tell us what you think. Thanks
[h=2]Luis Suárez[/h]Even the people most appalled by certain aspects of his personality cannot have failed to admire the performances of this Tasmanian devil of a player. His dazzling turns, incessant mischief-making and much-improved finishing made him a joy to watch. In terms of his skills, there is no team in the world that would not be improved by having Suárez in it.
[h=2]Juan Mata[/h]Oscar and Eden Hazard had impressive Premier League debut seasons but neither were as consistent as Mata, who controlled and conjured with delightful regularity Chelsea's matches this season, many of which he settled with crucial assists or goals.
[h=2]Gareth Bale[/h]If Tottenham were writing this entry, it would be a fairly mundane succession of words at risk of petering out with no real point, and certainly not three, until Bale would pop up and ping in an unbelievably breath-taking punchline. Spurs did not write this entry.
[h=2]Michu[/h]What a lovely player. Endowed with the strength and skill to thrive either as an advanced midfielder or a striker, he also showed marvellous composure and imagination with his finishes, making him the most elegant of swashbucklers.
[h=2]Christian Benteke[/h]Thanks to his power, work rate, cleverness and cool finishing, the Belgian proved an inspired signing for £7m. It is an extraordinary achievement for a young man (he turned 22 in December) to score over 20 goals in his first season in England in a team that at times looked out of their depth. And the way he scored those goals suggests he will be a menace for many years to come.
 
Back
Top Bottom