Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 May 19, 2013 #26,081 Dakika ya 40 Newcastle 0-0 Arsenal
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 May 19, 2013 #26,082 Katavi said: Huyu Ben Arfa.. Click to expand... Anatusumbua sana huyo mtu...Yeye na Cisse
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,913 Reaction score 10,263 May 19, 2013 #26,083 Katavi said: Hawa jamaa utafikiri wameambiwa wakifungwa ni kiama Click to expand... Kuna bonus wameahidiwa na mmiliki wao Mike Ashley kama wanashinda leo
Katavi said: Hawa jamaa utafikiri wameambiwa wakifungwa ni kiama Click to expand... Kuna bonus wameahidiwa na mmiliki wao Mike Ashley kama wanashinda leo
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 May 19, 2013 #26,084 Ramsey hovyo kabisa.....
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,698 May 19, 2013 #26,085 Katavi said: Hawa jamaa utafikiri wameambiwa wakifungwa ni kiama Click to expand... Mwenye timu Mike Ashley ameahidi kutoa paundi milioni 1 ambayo itagawanywa kwa watumishi wasio wachezaji ikiwa timu hiyo itaifunga Arsenal.
Katavi said: Hawa jamaa utafikiri wameambiwa wakifungwa ni kiama Click to expand... Mwenye timu Mike Ashley ameahidi kutoa paundi milioni 1 ambayo itagawanywa kwa watumishi wasio wachezaji ikiwa timu hiyo itaifunga Arsenal.
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 May 19, 2013 #26,086 Dakika ya 45 Newcastle 0-0 Arsenal
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 May 19, 2013 #26,087 Belo said: Kuna bonus wameahidiwa na mmiliki wao Mike Ashley kama wanashinda leo Click to expand... Ndio maana wamekaza namna hii...
Belo said: Kuna bonus wameahidiwa na mmiliki wao Mike Ashley kama wanashinda leo Click to expand... Ndio maana wamekaza namna hii...
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,698 May 19, 2013 #26,088 Cheick Tiote anapewa kadi ya njano kwa kumchezea rafu Aaron Ramsey. Zimeongezwa dakika mbili kabla ya mapumziko.
Cheick Tiote anapewa kadi ya njano kwa kumchezea rafu Aaron Ramsey. Zimeongezwa dakika mbili kabla ya mapumziko.
Kunta Kinte JF-Expert Member Joined May 18, 2009 Posts 3,690 Reaction score 1,293 May 19, 2013 #26,089 Balantanda said: Ramsey hovyo kabisa..... Click to expand... Hivi inakuwaje huwa anamuweka Wilshere benchi?
Balantanda said: Ramsey hovyo kabisa..... Click to expand... Hivi inakuwaje huwa anamuweka Wilshere benchi?
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 May 19, 2013 #26,090 Half Time Newcastle 0-0 Arsenal
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,698 May 19, 2013 #26,091 Ila tactic ya kumchezesha Oxlade Chamberlain katikati imeharibu mtiririko wa mashambulizi. Oxlade Chamberlain anatakiwa acheze pembeni na Cazorla arudi katikati na sio Ox katikati na Cazorla pembeni. Walcott na Oxlade wacheze pembeni ili kufungua ngome ya Newcastle.
Ila tactic ya kumchezesha Oxlade Chamberlain katikati imeharibu mtiririko wa mashambulizi. Oxlade Chamberlain anatakiwa acheze pembeni na Cazorla arudi katikati na sio Ox katikati na Cazorla pembeni. Walcott na Oxlade wacheze pembeni ili kufungua ngome ya Newcastle.
Questt JF-Expert Member Joined Oct 8, 2009 Posts 3,010 Reaction score 422 May 19, 2013 #26,092 Dakika 45 za kwanza hakuna shot on target hata moja. Noma...
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,913 Reaction score 10,263 May 19, 2013 #26,093 Kunta Kinte said: Hivi inakuwaje huwa anamuweka Wilshere benchi? Click to expand... Wilshere ni spana mkononi,na msimu huu Ramsey amejitahidi ukilinganisha na huko nyuma
Kunta Kinte said: Hivi inakuwaje huwa anamuweka Wilshere benchi? Click to expand... Wilshere ni spana mkononi,na msimu huu Ramsey amejitahidi ukilinganisha na huko nyuma
Fighter JF-Expert Member Joined Aug 30, 2009 Posts 615 Reaction score 153 May 19, 2013 #26,094 Hii beki ya Wenger aijatulia
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,698 May 19, 2013 #26,095 Ilikuwa Wilshere acheze badala ya Arteta kwa kuchomwa sindano ya kuondoa maumivu, lakini ni Gervinho ambae yupo bench na Olivier Giroud.
Ilikuwa Wilshere acheze badala ya Arteta kwa kuchomwa sindano ya kuondoa maumivu, lakini ni Gervinho ambae yupo bench na Olivier Giroud.
Nyaluhusa87 JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 1,303 Reaction score 262 May 19, 2013 #26,096 2nd half imeanza 0-0
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 May 19, 2013 #26,097 Kipindi cha pili kimeanza Dakika ya 47 Newcastle 0-0 Arsenal
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,698 May 19, 2013 #26,098 Tumeanza kwa kumiliki mpira sasa na tunahitaji magoli.
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 May 19, 2013 #26,099 Koscielnyyyyyyyyyyyyy Newcastle 0-1 Arsenal
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,698 May 19, 2013 #26,100 1-0 up Newcastle walidhani ameotea Koscielny ameotea na akauweka mpira wavuni, mpira mzuri wa adhabu umepigwa na Walcott. Mpango wao umeharibika, wajinga sana hawa.
1-0 up Newcastle walidhani ameotea Koscielny ameotea na akauweka mpira wavuni, mpira mzuri wa adhabu umepigwa na Walcott. Mpango wao umeharibika, wajinga sana hawa.