Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenger anazeeka vibaya sababu ya kuwapanga mwishoni wakina walcot nini?au ndo kujifanya hana fast eleven.kweli anatafutia mashabiki na wachezaji presha
 
Wenger anazeeka vibaya sababu ya kuwapanga mwishoni wakina walcot nini?au ndo kujifanya hana fast eleven.kweli anatafutia mashabiki na wachezaji presha

alijua atawafunga ndio maana ila penati ndio imesaidia mbaya..
 
Ila iyo presha hata yeye ameipata.itakuwa fundisho kwa mechi nyingine mahesabu wa2 wanataka mapema.hongera the vijana.du kweli hii rekodi ya kupatia ushindi kipindi cha lala salama imekuwa kawaida
 
Naona Spurs wameshaporomoka....Tuko nafasi ya 3 sasa....Japo tuna game moja zaidi ya Chelsea...Spurs tunalingana idadi ya mechi
 
Back
Top Bottom