Dakika zao 30 tu watatulia wenyewe, tuogope hizi freeckick na kona tu, kati tuko wepesi kidogo, Ramsey anacheza holding na Diaby amewaachia wanapita sana hapa kati.
Dakika zao 30 tu watatulia wenyewe, tuogope hizi freeckick na kona tu, kati tuko wepesi kidogo, Ramsey anacheza holding na Diaby amewaachia wanapita sana hapa kati.
Tumejifunza kwa mechi ya W/ham, sidhanii kwamba tunaenda mapumziko tukiwa tunaongoza 3-0, hawa Wolve wanaweza kurejesha.
Tatizo mvua ni kubwa kidogo na inatuzuwia tusicheze pasi kwa kasi, hawa Wolve wako dhaifu katika counter attack, mbali ya mabao ya 2 na 3 tulipata nafasi nyengine 2 kwa sampuli hiihii, kama ataingia Ebue ama Nasri basi lipo goli jengine japo 1.