Wandugu Masanja
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 1,584
- 553
Kuna mwingine aliahidi kwenda haja kubwa kwa mafungu toka Dar mpaka Moro.........
Wacheni Wivu mlikuja na ngebe mkifikiri tutafungwa kama mlivyotolewa nyinyi na timu zingine kumbe chichi tumewapachika magoli Bayern kama tulivyochema mwanzo chacha mnaanza kuwanga wanga tu .. ..khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Seething: Wenger screams from the touchline after another decision
Pole mtani wangu Oxlade-Chamberlain, nilimwona wajina wako pale dimbani..till next time, bye bye UCL. Questt acha kujipa moyo, mmetoka.. BAK mbona umepotea? pole jirani!!
Endelea kusubirinilikuwa ninasubiri muda tu nianze kupita Morogoro road kuangalia mavi
Hawa jamaa kazi yao ni kushiliki tu CL ili kujipatia pesa, hawako pale kushinda kombe. Hiyo miaka 16 waliyoshiliki hakuna chochote walichoshinda, the best they can show up is losers' medal.
hongereni arsenal kwa kushinda goli 2....:biggrin1:
hongereni arsenal kwa kushinda goli 2....:biggrin1:
Endelea kusubiri
yale yale wameninahiii lakini kwa mbinde kweli...
Nzi if u have noticed..huwa wakati game linaendelea hata ukinipigia simu sipatikani..whether tumeshinda, shindwa au draw!Chifu, naona umfahamu Nzi!! Kacheki kule nyumbani kwetu; daima nawakilisha!! Ninapotingwa, ndipo uwa sionekani!
Chifu, wewe ndiyo uwa unapotea kabisa humu jukwaani!!
Unamsema Mentor huyu huyu? Juzi tu pale zile goli 2 za OT aliingia mitini na Peasant wakw. Wamekuja kujitokeza baada ya ngoma kuwa doroo!
Gang Chomba...vipi mkuu!?? pole sana..hata kama nimechelewa!yale yale wameninahiii lakini kwa mbinde kweli...