Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Khe khe khe khe khe!!! As last season, you will end up saying 'it was too close!! Khe khe khe
Chief.....Ushabiki weka pembeni....Kwenye pogezi toeni.....Kuna wengine wamepigwa Home and Away
 
Refa amewabeba Wajerumani ..... .... .... ..... ... very poor officiating total disgrace
 
Kuna watu humu siku timu zao zinacheza hawaonekani kabisa kwenye majukwaa ya Timu zao lakini siku Arsenal inacheza wanakuwa mabingwa wakupost..........Wanafiki

Wanashangaza kweli hao jamaa....Heri ya Mentor...Yeye mwanzo mwisho yupo jukwaani kulitetea chama lake The Blues.....Hawa wengine wao wanasubiri timu zao zishinde ndo wanaonekana....Zikifungwa wanatokomea.........WANAFIKI




Pole sana jirani,
Najua hupendi kuniona hapa, lakini hii ni open forum. Unaweza kutafuta excuse kibao ili nionekane mbaya na mwisho nisije hapa, lakini that will never happen. Pole kwa hilo, na angalia usipate gonjwa la moyo. Darajani nipo sana, sihitaji kuthibitisha kwa mtu yeyote including wewe. Ninao uhuru wa kuchagua nini nataka, usitegemee lecture yako itafanya chochote, unapoteza muda. I know what I am (1st London club to win it), I do what I want.
 
Last edited by a moderator:
Full Time

Bayern 0-2 Arsenal

Aggregate 3-3.....Bayern wanavuka kwa goli la ugenini

Hongereni sana Arsenal kwa ushindi.......Si haba

Uzembe wa mechi ya nyumbani ndio umetugharimu.......Timu imecheza vizuri sana leo...

Once a gunner.....Always a Gunner

Proud to Be a Gunner....
 
Hongereni sana kwa kushiliki tena mwaka huu kama mlivyofanya miaka 15 iliyopita. Jitahidini mshiliki tena mwakani, wakati timu kubwa zikiingia kushinda kombe.
 
Chief.....Ushabiki weka pembeni....Kwenye pogezi toeni.....Kuna wengine wamepigwa Home and Away

Hongereni Arsenal kwa kushinda goli 2-0 dhidi ya Bayern Munchen. Mmevunja rekodi, kama kawaida yenu!
 
Refa amewabeba Wajerumani ..... .... .... ..... ... very poor officiating total disgrace Gunners won 2 - 0 (3 - 3 aggregate)

Wanoko walijaa wakitegemea tutafungwa kumbe tumeshinda tena goli mbili mtungi chacha wanagwaya. Tumetolewa kwa goli la ugenini tena wachezaji wa
Gunners walikuwa wanabezwa kwamba kutakuwa na kapu la magoli . . ... .... .eat your words now. We are the Gunners .... .. . next EPL The Swans waliowatoa kamasi Chelsick .... ...
 
Muhimu hapa ni kuwa kujaribu kuendelea kuwa consistent kwenye mechi za kwenye ligi.

Haita make sense kujituma kote huku alafu tukapoteza kwa Swansea.
 
Refa amewabeba Wajerumani ..... .... .... ..... ... very poor officiating total disgrace Gunners won 2 - 0 (3 - 3 aggregate)

Khe khe khe khe khe!!! Bahasha la Wenger halikuwa nene!!! Khe khe khe khe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…