Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jamani huruma WAVULANA wanatolewa na ndio timu ya MWISHO kutoka EPL! Lakini nafuu Arsenal WANATOKA leo kuliko Manchester United Waliotoka JUMANNE iliyopita duuuu aibu ilioje hiyo! Kumbuka KUFA ni KUFA vibaya KUTAMGULIA....
 
Nkwingwa.....Labda kwa mechi za karibuni ndo umekuwepo lakini kwa siku za nyuma haukuonekana jukwaani chifu....Walioonekana ni Mtaalamu mfarisayo na mheshimiwa sana Manda...Anyways, labda ndio huko kutingwa na majukumu Nkwingwa....

Hawa jamaa Manda na mfarisayo nawapa saluti. Wanajitahidi kuliweka hai jukwaa la Man United.
Nkingwa, mimi nipo sana sasa.

Mentor ni jembe hasa la The Blues.....Iwe mvua iwe jua yeye yupo jamvini...Inawezekana juzi alighafirika kidogo.....Jirani yangu Peasant ndio usiseme, yeye anasubiri mpaka timu ishinde na kuja kuandika kwa mbwembwe KTBFFH

Nakwambia, pamoja na ujembe wake, juzi alikimbia. Kaja kufufuka baada ya goli la Ramires. Nilitembelea jukwaa lao hata mwenyeji mmoja sikumkuta!!
Cc: Mentor
 
Last edited by a moderator:
Allianz-Arena_2914368.jpg
 
Kile kijibabu chenu kimeiweka FA mfukoni kiasi kwamba kikifanya makosa wanaogopa kukuadhibu.Halafu unakuja hapa na kusema kuwa mnajua kucheza mpira.

Unamjua Manduki wewe?!? Tungekuwa hatuufahama mpira, tusingekuwa na makombe 19 ya EPL, 3 ya UCL, 2 ya Klabu Bingwa ya Dunia na mengineyo. Yaani nyie Arsenal siyo wa level yetu. #WeeClub
 
Rosicky anazingua......Anapoteza sana mipira pale kati na amepwaya sana leo.....ANAJISAHAU
 
Unamjua Manduki wewe?!? Tungekuwa hatuufahama mpira, tusingekuwa na makombe 19 ya EPL, 3 ya UCL, 2 ya Klabu Bingwa ya Dunia na mengineyo. Yaani nyie Arsenal siyo wa level yetu. #WeeClub

Una maana level ya Mashoga ie ushoga? Hiyo ni level yenu tu khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
kwa kiwango cha Asernal bora watoke tu maana hata wakipita hapa huko mbeleni wataenda kutia aibu tupu,wanacheza chini ya kiwango yaani ni Mungu saidia tu
 
Back
Top Bottom