Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Masanilo popote ulipo Okoa jahazi Picha zimegoma kuwa inserted,wadau wanataka kuwaona vijana wao walivyofanya mambo jana,maana yaoneka AB Pichaz(Ticha lol) katokomea kusikojulikana leo

Balanta!

You know what, ukizoea sana kutoingia jikoni unaweza ukasahau/usijue hata kupika but the day yule mpishi akiondoka...nakwambia utapika tu na kitaiva kidizaini......!

In absence of mkuu AB ticha....! nimejitahidi kuingia jikoni...ila nimecopy & paste za kwako hapo juu.....how do they look like?
 


Asante sana Next Level....je unaweza ukatuelekeza how did you managed to insert them. Maana nimejalibu lakini sijafanikiwa...hope utatusaidia mkuu!
 
Masanilo popote ulipo Okoa jahazi Picha zimegoma kuwa inserted,wadau wanataka kuwaona vijana wao walivyofanya mambo jana,maana yaoneka AB Pichaz(Ticha lol) katokomea kusikojulikana leo

Mazee nilikuwa nasaka nyoka mahali naona jamaa amesawazisha...Thanks
 
Asante sana Next Level....je unaweza ukatuelekeza how did you managed to insert them. Maana nimejalibu lakini sijafanikiwa...hope utatusaidia mkuu!

Simple kabisa.....nimeenda pale kny link ameweka Balantanda hapo juu, nikabofya ile link ya picha (mmoja baada ya nyingine) nikaiona picha, katikati ya picha nikalight click kamouse ...kuna menu ndefu inatokea...nikaenda kny COPY nikaclick pale.....then nikarudi hapo kny kisanduku cha kuandika message (kinaonekana hapo chini) nikalight click tena, unapata menu ndefu...nikachagua ile ya PASTE......that's all mkuu...it works like that!
 

Njia nyengine rahisi ni:
1. Copy image url ambayo inaanzia na http// kama ifuatavyo ( highlight < right click < copy )

mfano:

2. Hapa juu ya huu ukurasa kwenye formatting tool bar, chagua kitufe hiki cha (insert image)

litafunguka dirisha na hapo kwenye box la please enter your http// iliyokuwa highlited paste picha yako.

3. Bonyeza kitufe cha preview chini na bila shaka utaiona picha na wala sio link.
 
asante sana mkuu.safi sana kama gibbs kapiga game vizuri.song ka improve sana i hope denilson atamkava wakati akienda africa.hapo ni majeruhi tu na ndio maana naomba washinde goli chap chap hile wenger hawapumzishe mastaa wetu.naomba sana injury zikae mbali hili tuwanyamazishe watu..
 
Huyu Almunia karudia maradhi yake yaleyale! Naona sasa wanapata alau la kuchafua gazeti! 4 -1 AW tia Mannone toa Almunya!
nimeona goli alilofungwa almunia na ni kweli huyu jamaa kusema kweli hajitumi,mimi nilijua atakaza buti baada kumuona dogo manonne anavyojikunja kama nyani.jamaa karudi analeta uvivu wa kudaka mpira hule na alikuwa kaoneshwa kabisa wala kuruka hakutaka kisa tunaongoza 4? almunia sasa ni wa kuuzilia mbali tu hatutaki wachezaji wazembe.tumemuondoa adebayor kwa ajili ya uzembe wa kuto jituma na yeye nae sasa anataka tuanze kumchukia.
 
Leo tunakipiga na Wolverhampton Wanderers; hopefully tutachukuwa hizo point 3!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…