Jamaa wa pembeni yake kala usingizi utadhani viongozi wa bongo wanapokuwa bungeni au kwenye vikao vya kimataifaUkiona Mtu Mzima analia kama mtoto ujue kuna mengi, inawezekana amefurahishwa sana au kaumizwa sana
Wen will this end?
Wacha1:- This will end when Mike Dean retire
Yeyote anaeongea kinyume na mawazo ya Arsenal hapa anakaribishwa lakini ndio ushabiki huo.
Sisi ndio wapenzi wa Arsenal na hatutaicha timu yetu itetereke.
Tunaamini kuwa timu ipo kwenye kipindi cha mpito na Arsene Wenger anaunda timu mpya ya kuja kuwa Invisibles kwa mara ingine.
Pesa ipo na tutatumia miezi ya June na July.
Tutaandamwa kweli mwaka huu na ninyi wazee wa Atletico Madrid!Misiba mfululizo.
Wacha 1 naomba tafsiri jamani!!!
Night of despair...
Deserved to win...
Killer blow...
Just a sniff....
Try again next time kiddo....
dogo alijitahidi lakini kasahau mchawi wake ni timu anayoichezea...
Picha zote kwa hisani ya Wacha 1, Balantanda, Richard, Vin Diesel, jmushi1, Viper, @ Saint Ivuga, Ng'wanza Madaso, Oxlade-Chamberlain, mafanikio, Questt, Rejao, bucho, Zizu, Mboko, Adoe, Ulimakafu, kashengo, e2themiza, dp cooper, Smile, MwafrikaHalisi, Fekifeki, Lhey et al...
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ungekuwa haubahatishi usingepigwa LIBOLOx 4-0 na mabingwa wa UEFA ndogo,PUMBAAAAF!
Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
ooh Chelsea walipaki bus..chacha ikawaje Drogba akatupiamo kitu kama kile wakuu!???
Hahahahaha....mngepaki na nyie afu mshinde, pambafff!!!!
Wanaopaki buses always draw... #iamBLUE
Ungekuwa haubahatishi usingepigwa LIBOLOx 4-0 na mabingwa wa UEFA ndogo,PUMBAAAAF!