Ningekuwa nasajili mchezaji wa kiungo wakati huu basi ningemsajili Momo Diame wa West Ham asaidie pale katikati kusukuma jahazi.
Aaron Ramsey ningempeleka kucheza kwenye timu yoyote ile kwamkopo ili apate uzoefu wa kucheza kwenye first eleven, na Diaby atakuwa anaingia kipindi cha pili.