Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,702
aondoke tu we are tired of him,team haichukui kombe milele!!!habari zisizothibitishwa nilizozipata muda mfupi uliopita Real Madrid wanajaribu kumfatilia Arsene Wenger kumchukua wao mwishoni mwa ligi, hili litakuwa pigo kwa Arsenal,
It's time for a CIVIL WAR.
Henry wants me to run Arsenal, claims Usmanov as billionaire says Wenger's best achievement is building team for rivals
Read more: Arsenal boss Arsene Wenger has built team for Manchester City, Manchester United and Chelsea - Alisher Usmanov | Mail Online
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
It's time for a CIVIL WAR.
Wakulu soko ndo linafungwa hivyo na babu kama kawaida yake yuko sokoni anasubiri vya kuoza either avipate kwa bei poa au vitupwe ndo aokote! So annoying, bora hata angekua hasemi kabisa kuwa atasajili.
Ugonjwa wa moyo,Team News.
Thomas Vermaelen anarudi kucheza mkoba.
Mikel Arteta, Francis Coquelin na Lukasz Fabianski bado wanauguza maumivu, na Gervinho bado anacheza fainali za AFON huko South Africa.
Hivyo timu unayotarajiwa kucheza leo ni ilele timu kamili inayoundwa na Szczeny, Bakary Sagna, Kieran Gibbs, Thomas Vermaelen na Per Mertesacker, katikati kuna Aaron Ramsey au Vasiriki Diaby, Jack Wilshere na Santiago Cazorla, na mbele kuna Olivier Giroud, Theo Walcott na Lucas Podolski.
Meneja Wenger anaweza kuchagua kuanza na Diaby au Ramsey kulinda back four kutegemea na matakwa ya mpango mzima wa mchezo au "game plan".
Arsenal inatarajiwa kucheza mtindo wake uleule wa 4-3-3 na utakuwa kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini.
Ugonjwa wa moyo,
Wakulu soko ndo linafungwa hivyo na babu kama kawaida yake yuko sokoni anasubiri vya kuoza either avipate kwa bei poa au vitupwe ndo aokote! So annoying, bora hata angekua hasemi kabisa kuwa atasajili.
So far Patupu..... Ila angamsajili hata Diame ningefurahi.....