Gunners has been drawn to face Blackburn Rovers in the next round of the FA cup. We will be at the Emirates ... ..... .COYG ... ... ... hakuna cha Mungiki Brother wala peas of ants kukanyaga jukwaa hili leo maana Beni kaponea chupu chupu kufukuzwa .... .... ..... .... Wivu tu! Na hawa loiterers wanaobebwa na mbeleko kila kukicha watakiona cha mtema kuni kilichomtoa kanga manyoya.
Gimme five! Walcott celebrates putting Arsenal into the last 16
BTW Nasikia jamaa wameshaanza kuwahara Olivier Giroud na Lukas Podolski maana wameanza kutoa cheche zao ..... .... ...
habari zisizothibitishwa nilizozipata muda mfupi uliopita Real Madrid wanajaribu kumfatilia Arsene Wenger kumchukua wao mwishoni mwa ligi, hili litakuwa pigo kwa Arsenal,