mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,525
- 1,177
Haya matokeo hayashangazi hii ndio Arsenal wanashinda leo next game utasema sio hawa
magoli yawe matano au goli moja points bado ni zile zile tatu...na ukiangalia walipo kwenye ligi bado wako nyuma ya everton na spurs..
Ukiweza funga hata 80 coz hufika wakti magoli huamua nani awe juu na nani awe chini,kuhusu sie kuwa behind everton na spurs hujakosea but tungefungwa jana tungekuwa nyuma zaidi.magoli yawe matano au goli moja points bado ni zile zile tatu...na ukiangalia walipo kwenye ligi bado wako nyuma ya everton na spurs..
Haya matokeo hayashangazi hii ndio Arsenal wanashinda leo next game utasema sio hawa
ht nilikuwa nishalala hongereni sana..
Ninachozungmzia ni consistency hata Barca amefungwa lakini angalia matokeo ya Arsenal anaweza akashinda leo baada ya mechi 2 akafungwa na mashabiki wakapoteza matumaini kabisa na utasikia Giroud galasa Wenger anunue striker mwingine,Sagna auzwe na nyingine kibao.Concept ya kubebwa kila timu inabebwa hilo halina ubishi tofauti ni kwamba wengine hawabebeki.Kwa hiyo ulidhani timu zote zinashinda mechi zote? Sisi tunacheza wenyewe, hatununui marefa wala washika vibendera
magoli yawe matano au goli moja points bado ni zile zile tatu...na ukiangalia walipo kwenye ligi bado wako nyuma ya everton na spurs..
wakuu jana sikujumuika nanyi shem wenu! alikuja kutoka Montreal ikabidi nimtoe out siku ilikaa kimahaba zaidi na hili winter dah ! :becky: nimeangalia highlights inaonesha nimekosa game tamu!
kuna watu humu walisemaga kua wilf zaha ataenda arsenal :biggrin1: chezea fergie nyie
Zilikuwa ni speculations tu hizo!!!!kuna watu humu walisemaga kua wilf zaha ataenda arsenal :biggrin1: chezea fergie nyie
Giroud anaweka chuma wavuni .. ... one up .... Pod assist ... ..