coach kafanya maamuzi ya haraka alikuwa asimtoe Alex,
Wilshere alikuwa arudi nyuma na kufanya mashambulizi ya kushtukia lakini kaua mbele hakuna kitu tena sio rahisi kuanziasha mashambulizi
Dean ana historia mbaya na Arsenal
Penalt ni sawa lakini Teves alikuwa mtu wa mwisho Red card ni ???? ngoja nikaiangalie kwenye review kama ni mtu wa mwisho au