Arsenal (The Gunners) | Special Thread

sahau kabisa kuhusu ubingwa mkuu labda kama wale greed ppl watoke katika uongozi wa washika bunduki wa kaskazini mwa london. Subilia kipigo next weekend toka kwa west brom
 
Tutafika2 ni mapito

Jipe moyo humu jf wenzako jana maelfu wenye sizoni tiketi walikwenda pub kupiga kitungi na kuangalia the hammers wanavyomchalaza chelsea badala ya kwenda kuangalia mchezo wa kuigiza the emirates
 
fa cup ! tumepewa Swansea tena ! revenge time:becky:

:biggrin1: kama mmeshindwa kuwafunga emirates mtaweza kuwafunga kwao wales? na babu wenu navomjua atachezesha madogo wa reserve team....hapo naona kipigo tu kwenu
 
:biggrin1: kama mmeshindwa kuwafunga emirates mtaweza kuwafunga kwao wales? na babu wenu navomjua atachezesha madogo wa reserve team....hapo naona kipigo tu kwenu

nakwambia tutawachapa na reserves haohao... tena na lle baridi la wales ... kisasi kitakuwa kitamu zaidi ....
 
someni hii goners wote mnaolalamika.....


Wise words from a 55 year old gooner.

 
"You've let us down and you've been letting us down all season. None of you are taking responsibility."

"Steve Bould"





No more touchy-feely culture – Gunners players get both barrels from big Steve after their defeat at Emirates by Swansea.......


Steve Bould branded Arsenal's under-performing flops a big "let down" in a furious dressing room inquest.
Arsenal No.2 Bould tore into the players after their defeat to Swansea as he questioned their commitment and responsibility after a string of bad results.

Bould shouted: "You've let us down and you've been letting us down all season." And Bould also roared: "None of you are taking responsibility."


The dressing room inquest lasted more than 40 minutes as Bould's patience finally snapped after defeat left Arsenal floundering in mid-table after the worst start to a campaign in Arsene Wenger's 16-year reign.

Arsenal's players have complained they have been left shattered by a gruelling fixture programme but, crucially, some players have complained that training levels have not been scaled back as they are at other clubs in the Champions League.



That has come as a culture shock to big-name summer signings Lukas Podolski and Santi Cazorla and Arsenal are likely to rest as many players as possible for the final Champions League Group match at Olympiacos tomorrow night (TUES).



Theo Walcott, Jack Wilshere and Lukas Podolski will not fly to Athens later today (MON) while Santi Cazorla and Mikel Arteta may also be rested.


It is also understood that more players would be given a complete break but three youngsters who would have gone - Nico Yennaris, Serge Gnabry and Ignasi Miquel - are all struggling with knocks.


Wenger has clearly taken on board the players' complaints of being tired after the dressing room inquest but it is also believed Bould is now pushing to do more specific coaching sessions and drills to save Arsenal's season.


Andrey Arshavin and Marouane Chamakh were both axed from Arsenal's match day squad against Swansea and are both up for sale in January to help fund a major rebuilding programme. Unless Theo Walcott signs a new deal they will look to sell him next month.




Arsenal are in for Schalke's Klaas Jan Huntelaar after glowing scouting reports throughout November and Wenger is under pressure from the fans and from within to spend big in January with serious cash available.


Wenger has been alerted that Chelsea may be willing to offload Frank Lampard - Arsenal were offered Michael Essien in August as the Blues look to trim their wage bill - but the England midfielder has had big offers from the MLS next summer.

Wenger, who will bring in Thierry Henry on loan in January, has had PSV midfielder Kevin Strootman watched and are likely to bid for Crystal Palace's Wilfried Zaha. Derby's Will Hughes is on their January radar as one for the future.


Meanwhile, Arsenal chairman Peter Hill-Wood is making a "good recovery" after a heart attack last Friday. His health will now be assessed before it is decided whether he can carry on.




[h=2]Boxing Day derby threat
[/h]
Arsenal are likely to postpone their Boxing Day clash with West Ham because of a Tube strike.
Gunners chiefs did the same last year because of similar industrial action and put back the game with Wolves by 24 hours but they cannot do it again. They play Newcastle on December 29 so have no scope to delay the West Ham game, so it will be rescheduled for the New Year.


Arsenal feel they owe it to fans to decide on the game sooner rather than later to allow those from further afield to arrange their travel plans. Tube workers may not hold a final ballot until December 19.


 
mbona tuna wachezaji zaidi ya 25 jee wale wengine tumewaeka kwasababu gani?
 
Be patient ... Utawaona champions league .. wengi wa kikosi cha kwanza hawatakuwepo watapumzika as they are jaded..

kusema wamechoka ndo maana walifungwa si sawa Viper mbona Manure nao walicheza na west ham jumatano? Hapo wachezaji wameshaathirika kisaikolojia kwani coach anasema kwenye media "we cannot compete with top teams" sasa washindane nini na boss anadai baada ya Two years ikija FFP?

Tofauti yetu na kikosi cha manure ni safu ya washambuliaji..wao wakali hapo kwingine kawaida ila winning mentality,fighting spirit,na taking responsibility na kocha wao MKALI SANA hataki ujinga ujinga mi naona kocha wetu ana uvumilivu usio na mipaka kwa baadhi ya underperfomers mpaka Fans wacharuke kwenye majukwaa nani angetegemea Andre Santos kucheza baada ya upuuzi alioucheza game ya Schakle pale Emirates?

AW awe mkali na anunue striker wa kumsaidia Giloud na msaidizi wa Kirean Gibbs, pia awe na game plan sio kupiga pasi na kuishia kudraw au kufungwa hata kushoot mbali napo hakuna? unaweza kujiuliza game yetu pale Old traford tulikwenda kucheza kushinda au kuchezacheza ushindi uje kama bahati?

Ukitazama vizuri kikosi kiko poa na hatuna vitoto kama previous seasons ila TACTICS zake nazitilia shaka kidogo na njaa ya makombe hata kama si UCL na EPL kuna FA na capital one arejeshe kujiamini mi naona players wengi wanacheza "for fun" sio kushinda chochote na hili ni jukumu la Manager nae aache kuwa kama politician akomae na pitch success

Fans wakiendelea na BOOS yeye atafanya kazi kwa presha na hapo ndo ata deliver hata medali ila kwa kurelax imeshindikana kwa 8 years ila bado si wakati wa AW kuondoka ila abadilike au akubali heshima yake iporomoke kwa royal fans

"Judge my team in may" imekuwa msemo wake ila tushaona nini hutokea top 4 finish sasa wasiwasi mkubwa tunazidiwa consistency mpaka na West Brom na Swansea city? Hapo mi sioni Gazidis na Stan wanaingizwaje hapo ilo la Wenger na Bould

swali: mbona timu ilikuwa inakaba yote game 5 za mwanzo za ligi sasa wameishia wapi?

Nakala kwa: MwafrikaHalisi Rejao BAK Katavi Questt Wandugu Masanja Ulimakafu Richard Jaguar Wacha Balantanda na wote wana Arsenal hapa JF
 
Last edited by a moderator:

Kumbe huwa mnajua ukweli wa mambo badala yake mnapiga kelele za kuonewa na kubebwa
 

Bila shaka malaria imepanda kichwani
 

Mkuu le prof kasema he is working on that..

1) rotation

2) panic buy will not solve our problems we have to. Fix from inside ...

He might have a point there ... Sababu ukiangalia timu iliyoanza mwanzo mwa msimu ni tofauti kabisaa na hii ya sasa. Same players weeek in week out... Diaby was supposed to be song replacement na kweli aliimudu.vema.Ile nafasi...

Le.prof anasema anafanya shopping wachezaji wawili au watatu ... Nadhani.mmoja atakuwa defensive midfielder...

We will come back .. usihofu.mkuu... Bold keshawafokea wamepata akili...
 
Last edited by a moderator:

Washabiki wa dizaini yako ndo mnafanya timu izidi kudorora na mtaifanya ishuke daraja soon.
Endeleza mentality zako za BAHASHA afu tuone hiyo AssEno yenu itafika wapi.... Timu yako ni dhahiri mbovu kama BAK alivyoelezea hapo, but wewe unakazania BAHASHA tu, keep it going on n on and we'll see where you'll be hiyo MAY.
*Mnaboa*Unaboa*:A S angry::A S angry::A S angry:
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK

Bould hajafoka pale amewalaumu na anaonekana alikuwa anatamani hata kulia wale ni kupiga mkwara tu kama jeshini ila AW ni kocha mpole sana na ndo maana players wengi huwaamini na wanamsnitch....

eti wanasema wanachoka sasa mkuu lini Messi, Cr7,Falcao wamepumzika? Scapegoats mpaka lini?...ngoja tuone atafanya nini maana ni Very sturbon old man ila msimu huu akifeli UCL na angalau kakombe ma fans watanyima usingizi sijui kama ataiweza presha..
 

Soma post yangu hapo juu bold alivosema kwamba... Kama tusipo qualify champions ligue yes Wenger he might stepdown je nani mnataka aje..?

Ni top manager gani.ayakayekubali ku manage timu yenye.unlimited.budget ... Mkuu top payed player arsenal ni podolski 90k per week van manure urinated anakusanya same almost nadhani na anacholipwa Rooney Mara mbili ya podolski....

Baada ya kumsoma bold lawama zangu.nazirudisha kwa. Board ya kronke na.p.hillwood ...

Waachie pesa za kununua top players ..

Wenger Ana.play part.Katika maswala ya kiufundi pale mbinu zake zipo too pridictable ... Na kununua flops.. ambao hata bench hawakai... Mara kumi awa.promote kina aneke na ensfild kutoka under21 madogo wanakipiga kuliko some dudes from our sinior team..

Arshavin ... Needs a game..time Katika position yake...

Chamark alikuwa mzuri Kipindi jack wilshare yupo uwanjani I guess now he can find his form .. capital cup tulimuona ...

Ramsey needs a loan time atafute form .. miyachi.arudi kuchukua nafasi yake


Point ni kwamba kunahutaji adjustment ndogo sana... Timu sio.mbaya ...
 

Limited budget sio unlimited najua umeteleza kilicho nichekesha zaidi kwi kwi kwi kwi! ni jamaa zangu kuwaita MANURE URINATED duh!

AW anaongoza kuwapanga wachezaji in outside positions mpaka wengine wameflop kama Arshavin nakuhakikishia huyu mrusi wamemmaliza kiwango sio Left winger
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…