Nadhani msimu huu, babu ataondoka mwenyewe!
Lakini na Board inabidi ibadili msimamo kuhusu mishahara. Iwapo Arsene Wenger Yumo kati ya 5 top-paid managers duniani, timu hiyo hiyo inashindwa kulipa wachezaji.
Hapo ndio kuna weak link. Ameprove kuwa manager bila wachezaji wazuri haiwezekani kujenga timu ya ushindi.