mkubwa vipi! salama.. naona mmemkaibisha na mabango kocha wenu! :confused2:
mkubwa vipi! salama.. naona mmemkaibisha na mabango kocha wenu! :confused2:
Naona Ramsey kachukua nafasi ya podolski .. leo... Pod kapumzishwa
He is at his best years.....he can score and he has got the pace....get him a long contract n keep the kid......
Bacary Sagna anampa mpira Marouane Fellaini na mchezaji huyo mrefu anafunga kwa kupiga shuti la mguu wa kushoto.
Mambo sasa 1-1
Tunahitaji kuwa na holding midfielder wa uhakika!! Hawa akina Arteta naona wanaruka ruka tu!Kumpa sio term nzuri.... alikua anaondoa hatari......na likatokea lilitokea.....
Kumpa sio term nzuri.... alikua anaondoa hatari......na likatokea lilitokea.....