Arsenal (The Gunners) | Special Thread

adebayor alikuwa anacheza kwa sifa bora amepata alostahili
 
ukiona webb anatoa kadi kipindi cha kwanza ujue ni balaaa

update

asno 3 giroud..
 
Adebayor katika carer yake epl alikuwa na kadi nyekundu tatu!... mbili toka kwa webb! ... leo kamuongeza ya tatu!.
 
mimi ninamlaumu Adebayor, ni mchezaji mzuri ila ana hasira na ile foul haikustahili kwani hakuwa na sababu ya kufanya
 
Naona Giroud sasa anataka kujenga maskan ya kudumu kwnye sehem ya mastriker nnaowaadore yan cku hz anankosha
 
ile ni red kwani aliinua miguu kwa intetion ya kumkanyaga prof kamzora (carzola)

mkuu hii derby inamaana kubwa sana kwa king henry! namuona kaja uwanjani .. yupo nervous kinoma!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…