Msimu huu tukishindwa kupata nafasi ya CL itakuwa jambo zuri kimaendeleo. Vizee vitaona umuhimu wa kumwaga pesa na kuacha ubahiri. Mrusi apewe timu amwage pesa, jamaa ni tajiri kuliko Roman Abromovich nina uhakika anaweza kuturudisha tulipokuwa miaka kumi iliyopita.