Tusikate tamaa......Wakati mwingine ni heri kufungwa dakika za mwanzoni na kuanza kutafuta goli la kusawazisha na baadae la ushindi kuliko kufungwa dakika za mwisho...
Halafu, pamoja na kwamba sipendi utaratibu/mfumo wa AW......lile goli si tatizo la mfumo......Ni uzembe wa TV na positioning ya golikipa....TV5 kapoteza mpira kizembe jamaa wameuwahi RVP akafunga
Tusikate tamaa......Wakati mwingine ni heri kufungwa dakika za mwanzoni na kuanza kutafuta goli la kusawazisha na baadae la ushindi kuliko kufungwa dakika za mwisho...
Wakuu inakuaje??? Ndo naingia home, Washa kideo... Naangalia scoreboard, kisha angalia mfungaji..... nikazima after a minute or so Nikawasha.... Hali si njema ila Time bado kama tulivyocheza na Norwich