duh beki na mipira iliyokufa ni noma
Dah.....wametupiga la pili..
inawezekana mkatoa droo..
and it has never Stopedtik tok tik tok time is going..
Yaani Goli mbili zote za kizembe kabisa..... Verm anatoa free kick na Kos anakua na poor defending..... Upuuzi kabisa....
Yaani Goli mbili zote za kizembe kabisa..... Verm anatoa free kick na Kos anakua na poor defending..... Upuuzi kabisa....
Sijui kwa nini Per kawekwa benchi...