Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kumbe nipo timu moja na rejao?
kweli dunia duara.
wadau kikosi kiko bye achaneni na hawa wagonjwa wa moyo ambao mechi wanajifariji na big g.
 

to know how many can afford lets wait next saturday..i'm sure you wont see any empty seat at 60,000 seats stadium

Unadhani we kuishi chini ya Dola moja ndo wote? Alafu usilinganishe TZ ya JK na UK..endelea kuuza sura jamvini kwetu na kutuchangamsha!

FERGIE alipochukua Man utd 1986 alikuja chukua kombe la kwanza mwaka gani? Hujui tukwambie? Chelsea mwaka 2005 walipochukua EPL ilikuwa na miaka 50 patupu hapo ushangai?

SWALI: what bothers you? Ugomvi wa jirani wakuhusu nini?

Maswali yako hayana tija wala mantiki
 

Rejao

Ndugu punguza munkarati maana hata Jekinson alitukanwa sana hapa! Be patient and try to reserve your comments wakati mwingine...akianza kufunga hutapata majibu ya kujibu wadau hapa Jamvini usiwe kama kale kashabiki ka MANURE

1.mkuu wakati Gilberto anaachwa benchi mwanzoni mwa season ya 2007-2008 kila shabiki alilaumu sana lakini tuliona alichofanya FLAMINI from zero to hero

2.Unakumbuka Tulivyokuwa hatuna subra alipokuja Eduardo da Silva huyu tena ndo alikaa sana bila kufunga lakini alipozoea akawa Prolific Goal poacher kabla ya kuvunjwa mguu pale st. Andrews feb 2008

3. Alipotua Berbatov Manure mwaka 2008 1st entire season ilikuwa misery lakini je uliona alivyokuwa Top scorer season iliyofuata?

4. Kushindwa kufunga hakumaanishi mchezaji mbovu je Pappis Demba Cisse mbona hafungi? Shevchenko na Mateja Kezman walikuja Chelsea kama prolific strikers lakini wakafeli je kweli walikuwa WABOVU jibu hapana

Alafu Arshavin amekuwa Left winger sio Midfielder ila natural position yake ni 2nd striker a.k.a no. 10

Mi naamini presha aliyonayo Giloud ni kubwa na anakamia kufanya vizuri ndo maana inamgalimu hayuko RELAXED
 
Last edited by a moderator:

Mkuu analysis yako ilikuwa nzuri ila tu hapo kwenye red nikusahihishe. Mimi kusema alikuwa alikuwa akicheza kama midfielder sikukosea. Arshavin alikuwa akicheza Wide midfielder (LM) or (RM). Aina za midfielders ni kama hizi: Defensive midfielder (DM), Centre midfielder (CM), Attacking midfielder (AM) and Wide midfielder (LM) or (RM).
 
unataka kuniambia Gervinho a.k.a KR Mullah kazi anayo kuchukua namba kwa huyu Giroud?
 

More than 60,000 can afford it and that is why it has already SOLD OUT long before last week when I checked. Unemployed chaps have nothing to do with this. Football is pleasure, you get what you can afford, period.

Mind you, 62 pounds is only the minimum price for the back rows. I can bet my balls United won't sell out with these prices.
 

akhsante ila punguza munkari kaka! Belief inahitajika maana AW ndo yuko na players kwenye Training kila siku pale London Colnwey...

Kama uliwahi kuiona documentary DVD ya Arsene's xi ya 2007 akizungumzia wachezaji anaowakubali aliowahi fanya nao kazi alisema alipomnunua Robert Pires vyombo vya habari na mashabiki waliuponda usajili ule baadae akawa Mchezaji hatari sana

The same DVD alisema alipomnunua Lauren etame Mayer toka Real Mallorca alikuja kama mchezaji wa "KAWAIDA" tena kiungo lakini akamrithi LEE DIXON akawa bonge la beki

Kuwa na Subra Rejao

Arsene's xi Dvd ya mwaka 2007 amewataja

David seaman
Lauren
A.cole
Martin Keown
Kolo Toure
Ray Parlour
Patrick Vieira
Fredie Ljungberg
Robert Pires
Thiery Henry
Denis Berkamp
 
Last edited by a moderator:

ukiona hivyo ujue hata englang mashabik w arsenal hawaitelekez tmu yao kama ingekuw kw man u viingilio vngepunguzw na still mashabk wasingetokea so hyo inakuonyesha true color ya real gunners wanaikubal na kuisupport tmu yao kw kila hali
 
ukiona hivyo ujue hata englang mashabik w arsenal hawaitelekez tmu yao kama ingekuw kw man u viingilio vngepunguzw na still mashabk wasingetokea so hyo inakuonyesha true color ya real gunners wanaikubal na kuisupport tmu yao kw kila hali

Hivi Arsenal kuna FANS ama SYMPATHISERS??!
 


Moving: Carl Jenkinson's tribute to his late grandfather
outside the Emirates



 
Vijana wapo ready kukwaana na wauza unga na wezi wa Chelsick kesho mchana pale Emirates kama kawaida .... .... ....... tunategemea mpambano mkali wa kukata na shoka na vijana wameahidi kuwafundisha soka kwenye wanja la kisasa bila kusahau kukomba takriban £6 million kama kiingilio cha mechi ya kesho .... ..... ..... wanoko wote wanahaha na kuulizia huu mpunga maana kwenye cowshed yao hawapati njuluku kama hizo ... ....
 
Haha!! Mi leo nipo ndani ya train bana ntategemea hii thread.. nikifika Copenhagen kuna tawi la Chelsea ntapita kuangalia hali ipo vipi .. kuna msela wangu m Danish anavopenda Chelsea yeye ana jezi ya Peter C. Na lile kofia! I hope vijana leo watampa changamoto nikifika nikute msela kofia kalivua lile...

COYG
 
I don't know who is better off...
Players - hopeless
Fans - sympathisers
Management - Entrepreneurs!!!!
naona unajifariji mapema kwa kile kitakachokukuteni baadaye hapa emirates!
 
I don't know who is better off...
Players - hopeless
Fans - sympathisers
Management - Entrepreneurs!!!!

wat i think mpaka tym flan za sa 11 2tajua wap kuna mamluk baada ya kuwabaka pale emirates
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…